Heshima kwako Waziri Mwakyembe na Wizara yako nzima katika kuhakikisha tunatoka hapa tulipo.
Wewe binafsi na watanzania wote kwa ujumla tunatamani kuiona bendera ya Taifa letu ikipepea kwenye...
Jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga limethibitisha taarifa za Mwanamitindo Nicole Emmanuel (19) kupigwa na waandaaji wa Mashindano ya Ulimbwende 'Miss Shinyanga 2019' baada ya mrembo huyo kudai...
Jarida maarufu linalozungumzia maisha ya kila siku (Journal of Research in Personality) la nchini Marekani lilichapisha utafiti uliowahi kufanywa na chuo kikuu cha Colombia kuhusiana na vitu...
Wanawake Wa Dar wakiwa SIMIYU; Washangazwa kuona wanaume Wa mkoani! kuona wamejikoki mabomu kuja kuwatawanya kwa mitutu ya bunduki wakati Wa shughuli yao ya kukata keki ikiendelea!
Ingekuwa Dar...
Tafadhalini, mwenye kuifahamu Menu ya TTCL pesa anisaidie, kuna akiba yangu nahitaji kuitumia. Ukipiga huduma kwa wateja wanapiga porojo tu T-Pesa hakuna maelezo yoyote. Ahsanteni
Kila siku tunaambiwa viwanda vimejengwa vingi na vinaendelea kujengwa tangu Mheshimiwa aingie madarakani.
Sasa vijana hamtaki hizi kazi za viwandani? Maana naona baadhi yenu mnalalamika kuwa hali...
Awali ya yote, naomba nitoe pole ya dhati kwa msiba mzito uliowakumba Azam Media. Ni wazi mmepata pigo na familia zao ndo zina maamivu yasiyomithilika.
Hata hivyo, nasikitika kuwajulisha kuwa...
Nimesoma post hii ya CNN kwamba Tanzania ni miongoni mwa nchi Tisa zitakazochangia ongezeko la idadi ya watu kwa 50% ifikapo 2050.
My take: no sahihi nchi yetu bado ina maeneo mengi yapo wazi...
Mtunzi:Abyas Mzigua
Sehemu ya kwanza.
"AANH ewe Mungu! Hivi nina mkosi gani mimi? Mbona watoto wa wenzangu wanafanya kazi na kuwalisha wazazi wao? Wa kwangu ana nini? Eti Zakayo, una nini wewe...
binafsi sijawahi kusafiri nje ya mipaka ya tz na sina uzoefu wowote wa kuishi nje ya nchi.
safari zangu pekee ninazozifanya ni za kutoka nyumbani kwangu ninapoishi hapa gongo la mboto kwenda...
Mwanamke mmoja amesema aliachwa peke yake ndani ya ndege baada kuangusha usingizi mzito akiwa safarini.
Tukio hilo limemkuta Bi Tiffani Adams Juni 9 mwaka huu ambaye alikuwa akisafiri kwa kutumia...
Hello JF
Naomba kufahamu ukweli kuhusu hizi imani ambazo zinaonekana kuwa common miongoni mwa jamii mbali mbali za hapa kwetu.
Je kuna ukweli wowote kwamba mwanaume akipigwa na mwiko wa kusongea...
Nauliza tu? Kwa maana wao ndio wametawala mda mrefu nchi hii ilikuwaje wakashindwa kueneza kanisa lao Tanzania nzima?
Maana ukitazama wa italy hawakutawala Tanzania lakini ndio dini yao ilienea...
Profesa Kabudi anafanya kazi nzuri,ni mmoja wa mawaziri wanaofanya kazi zao kwa weledi na ufanisi mkubwa,jambo moja haliwezi kummfanya Profesa Kabudi aonekane kashindwa kazi wakati mambo mengi...
Nilikua mpiga maj(dagi) mara kwa mara,siku ambazo nimetulia nilikua na tabia ya kupitia phonebook yangu,cha ajabu nilikua nakutana na majina ambayo sikumbuki ni watu gani walionipa namba ,huishia...
Kwa wanaume wote, imekua kawaida sana baada ya kujisaidia haja ndogo, tunatikisa (shake) uume kama ndio njia ya kujisafisha au kutoa mkojo unaobaki.
Je, hii ndio njia sahihi au?
Pia soma Je, ni...
habar wakuu.
Kama ghadafi alitengeza mto.
Waziri mkuu Israel alibuni mashamba na Bustani jangwani.
Waholanzi walotengeneza nchi kavu baharini.
wachina airport Baharini.
hata sisi tumefanya jambo...
Binadamu ni kiumbe anayetafsiri na kuupambanua uhalisia kwa kutumia codes.
Codes zimegawanyika mara mbili
1.Natural codes:-Hizi ni ile ambazo Mtu huzaliwa nazo pasi kujifunza toka kwa mtu mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.