Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,621
- 2,273
Salaam wanaJf? kwahakika namba tumeisoma na tulio wepesi hata kuiandika tunaweza sasa, kilichobaki ni kuikariri, hakuna shaka kwamba maisha yataendelea kua magumu hasa kwa sisi twenye kipato cha chini. tusijidanganye kua hali itabadilika na kufurahia maisha katika vipindi vyote viwili vya uongozi wa bwana mkubwa, na inavyoonekana hali inaweza kua ngumu zaidi kwa kipindi kijacho. kwa maana mambo mengi yaliyoanzishwa yatalazimu kukamilishwa, pongezi kwenu ambao namba mshaikariri.