Habari wadau,
Nataka kwenda kutalii jiji la DODOMA aka MAKAO MAKUU
Mwenye taarifa za msingi kuhusu DOM kama vile malazi,burudani,vivutio,gharama za maisha na mengineyo anijulishe
Asante
Nimejikuta najiuliza hili swli bila majibu
Kuna watu kila nikiingia twitter na katika mitandao mingine, nakuta kuna ajenda wanaikampenia
kama sio #bringback nani atakae kuwa ametekwa na...
Kuna baadhi ya threads za ajabu ambazo hazina mtazamo mzuri kwa jamii na zinafaa kutupwa nje ya jukwaa lolote, kutokana na hayo nimeona wakati umefaha kuwa na sehemu ya kuanika DHAMBI na MAASI...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutafuta masoko ya tumbaku ili kuwawezesha wakulima kuzalisha kwa wingi na kuinua kipato.
Ameyasema hayo leo Jumapili Julai...
Samaki tani mbili waliowekwa sumu ya kuoshea mifugo wakamatwa
HALMASHAURI ya Wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa, kwa kushirikiana na Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA), imeteketeza tani mbili za...
Wooote mnakaribishwa kwenye makambi.
Huu ni msimu wa makambi kwa waumini wa kanisa la Waadventista wa Sabato.
Kwa mfano kuna makambi mtaa wa mabibo yanayoanza kesho. Kutakuwa na wachungaji wanne...
Jamaa haitwi Cyprian musiba,anaitwa MAAGI MULAGA ,jamaa huyu ni kilaza wa kutukuka kwani primary school alifeli mara tatu kipindi hicho anakaa Tabora nyumbani kwa marehemu kaka yake aliyekuwa...
Bw Mwania, ambaye ana zaidi ya miaka 60 amefanya kazi hiyo tangu 1997 na anasema kuwa ndiyo kazi aliyokuwa akiitamani tangu utotoni.
Kila siku, kazi yake ni kuandaa mili na kuichoma, akiona mtu...
Tafiti mpya iliyofanywa na Wanasayansi kutoka katika Chuo Kikuu cha Rome cha nchini Italy imebaini kwamba kula Mchwa, Panzi, Nondo wa hariri na Wadudu wengine kunaweza kumsaidia Mtu kujikinga...
Wakuu za jion,.kuna kahela fulan nmekapata sasa nina waza kufanya biashara ya ku export bidhaa nje ya nchi naona ni biashara fulan nzur kama ukiset miundombinu yote..na hiv serikal inatoa...
Kozi hizi ni
-ualimu (hususani masomo ya arts)
-Petroleum Chemistry
-Procurement na Logistics
-Marketing
-Business Administration
- Marketing
Vyuo vinapodahili wanafunzi wawe wanaangalia hali ya...
Na Victor Richard..
Judy ni mbwa jike aliyeishi kati ya mwaka 1936 hadi Februari 17, 1950. Mbwa huyu alikuwa
akiishi melini katika meli za HMS Gnat na HMS Grasshopper ambazo zilitia nanga huko...
Hivi nani aliwahi kukopeshwa pesa na hawa ISLAMIC BANK?
kama hawakopeshi pesa wanakopesha nini?
Je hicho wanachokopesha wanauza wao au wanaenda kukununulia wao dukani kwa pesa zao then...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.