Inasemekana eti hii ndo zawadi atayopatiwa mshindi wa mashindano ya urembo kinondoni(miss kinondoni super model)
Zawadi atazopatiwa ni kama inavyoonekana pichani,.gari na kitanda.
Toa maoni yako
Nimekuwa nikishuhudia maeneo mbali mbali kuna watu wanawajambisha wenzao ambao inasemekana wana midadi,kwamba wakijambishwa basi huruka,Hawa wajambishaji hufurahia sana tendo hili.Inasemekana Hawa...
Kilimo cha umwagiliaji ni kilimo kinachowezesha wananchi kuondokana na umaskini bila kutegemea mvua kwa asilimia kubwa. Tanzania tuna skimu nyingi za umwagiliaji, zingine zinafanya kazi na...
Baadhi ya madereva wanaoendesha magari yanayokwenda nchi mbalimbali kupitia Tanzania (IT) wameibua madai ya watu wanaojifanya askari wa usalama barabara na kuwadai fedha.
Takribani wiki mbili...
Kwenye pilika pilika zangu za hapa na pale nimejikuta nikidondokea jiji la Arusha. Jiji limechangamka sana ila sasa vijana wengi ni wachafu sana kuanzia nguo, miili yao , viatu na wananuk sana...
Ukitaka uwe kipenzi cha serikali na usigombane na serikali maisha yako yote mpaka unaoondoka hapa duniani wewe fanya mambo haya hapa chini
1. Uwe mkulima
2. Watoto wako wapeleke shule za kata...
wakuu nawatakia heri njema za jumapili.
nimeishi hapa dar kwa miaka mitatu sasa baada ya kutoka mkoani na kuja hapa dar kwa kuajiriwa.
katika pita pita zangu hapa mjini kwa wenyeji na watu...
NIMEIKUTA HII THREAD FB NIMEIPENDA NKAONA NI SHARE NANYI HUKU
𝐔̳𝐃̳𝐈̳𝐊̳𝐓̳𝐄̳𝐓̳𝐀̳ ̳𝐍̳𝐀̳ ̳𝐓̳𝐀̳𝐁̳𝐈̳𝐀̳ ̳𝐙̳𝐀̳𝐊̳𝐄̳
Habarini za huku wanafb?Natumai mu wazima wa afya .Leo nimeona ni vyema nika_share na...
Kwa miaka ya hivi karibuni, eneo la bonde la Ngorongoro limekuwa likikumbwa na migogoro ya aina mbalimbali hasa ya migongano ya maslahi. Maslahi haya ni kati ya wenyeji waishio katika eneo hili na...
Kuna mjadala mkali hapa unaoeleza je mtu anaweza kufanikiwa bila Kua na imani ya kumcha Mungu?
Katika bibilia Je shetani nae anahusika vipi kwenye mafanikio? Je pale aliposema Mali na milki zote...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Mkoa wa Tabora ipo mbioni kuwafikisha Mahakamani watumishi wa TARURA Mkoa wa Tabora kwa tuhuma za kujihusishwa na vitendo vya rushwa. Kwa...
Ndugu wana jf kuna ndugu yangu alikua anaomba mkopo ila katika kujaza form online amekutana na utata huu
1.Ukitumia browser ya moxilla firefox -upande wa kuselect district mtu anatokea inagoma...
Kama kuna Mkoa ambao huwa nikisikia kuwa imefanya vyema hasa katika Matokeo ya Kidato cha Nne na cha Sita hasa kutokana na jinsi ambavyo Wanafunzi wa Shule za Sekondari wa Mkoa huo walivyo na...
Wakuu habari za asubuhi,
Usiku wa kuamkia leo nimeota ndoto naharisha (ashakum si matusi) je hii ndoto inaniletea ujumbe gani kwa anayejua tafadhari. Nimegoogle na kukutana na hii
Arabian...
Wakuu, nini kimempata ndugu Mahad? Who killed him and why did they kill him ?
Mahad ni mmiliki wa city mall, Maisha supermarket , city garden restaurant n.k
Pamoja na iliyokua paradise resort...
Niaje..
Picha hii imebeba ujumbe mchungu sana kwa tabaka la masikini...
Lakini vilevile inatia ndani hila za matajiri, kuutoa utajiri wao huku wakifahamu wazi utawarudia wenyewe...
Inatia ndani...
Aliyekuwa mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Wilaya ya Ilala, Norah Waziri maarufu Nora Mzeru amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni akikabiliwa na shtaka la kughushi cheti...
Wenzangu nimepata gari kampala kuna mtu anataka kuniuzia , lakin naomba kujua utaratibu wa kuingiza magari kutoka nchi zetu jirani kama kenya na uganda ,kodi yake tunalipaje? Ni kama mtu...
...Asubuhi moja nilipelekwa kwenye pori nene, kigiza kilikuwa kinaanza na mvua kidogo kidogo ilikuwa inamwagika! Ile misauti ilitisha ila ndani mwangu nilikuwa vizuri na sikuteteleka! Wale jamaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.