HAMASA YA KUSHINDA ndio kiini cha mafanikio yako.

Konzo Ikweta

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
735
1,464
Aliyewahi kuwa mchezaji maarufu sana wa Baseball wa timu ya Cincinnati Reds aliwahi kuulizwa swali muhimu sana kuhusiana na mafanikio yake. Kutokana na mafanikio yake makubwa watu walitaka kujua ni kitu gani hasa huwa anafanya kinachomtofautisha na wengine.

Aliulizwa swali-“Mchezaji Unapokuwa uwanjani nini huwa kinaanza kutangulia ili uhakikishe unapata ushindi? Je, ni Macho yako, Miguu ama Mikono?”

Jibu lake liliwashangaza wengi, alisema kinachotangulia ni HAMASA ya kushinda kwanza. Alisisitiza kuwa ukianza KUINUA mguu kabla MOYO haujainuka hautafanikiwa, ukianza kutumia MIKONO kabla HAMASA ya ndani haijakuwepo huwezi KUPATA unachotaka na ukifanya bidii kutafuta FURSA kwa macho kabla MOYONI haujaziona HAUTAPATA MATOKEO.

Wiki inapoanza ni muhimu kujiuliza nini kinaendelea NDANI YAKO?Nini kinakupa hamasa ya kuinua MGUU kutoka nyumbani kwako kwenda eneo lako la shughuli?. Usipoanza na HAMASA ya NDANI hautapata MATOKEO unayoyataka.

Usitoke NDANI bila kuwa na SABABU ya kukupa HAMASA kufanya unachoenda kufanya leo. Njia mojawapo ya kupata HAMASA ni KUSOMA na KUSIKILIZA vitu ambavyo vinaamsha ARI yako ya KUPAMBANA. Ni KUPITIA MALENGO yako MAKUBWA kabla siku HAIJAANZA. Je, Una HAMASA ya ndani leo?

#Nanauka
 
Hamasa ndo kila kitu katika kukupa uajsiri wa kutenda bila kuchoka
 
Back
Top Bottom