Aisee south Africa wapo vizur Dar es salaam ni kijijini tu kwenye big population hakuna jipya yaan niko township moja inaitwa Eshowe in 14 lanes roads na ina population dogo kam 300,000 ila Dar...
Kuna hili tangazo ambalo jamaa ana-rap humo. "Airtel kanipa tena...". Ni tangazo lakini lina vigezo vyote vya kuwa wimbo. Jamaa kafanya tangazo bora sana kiasi cha kufanya kampuni nyingine za simu...
Joseph Musukuma. "Mh. Rais shida yangu ni Moja tu, jimbo zima hakuna askari wa kike, nikiomba naambiwa mgao, ikikupendeza ukiagiza hapa nipewe wanne, watu wanapekuliwa na askari wa kiume na...
Wakuu hii imekuwa sasa kama sheria na ni amri, eti wanasema kuna maagizo kutoka juu kuwa kila mtumishi wa umma ( aliyepo seriklini/ anayefanya kazi serikalini) ni lazima awe na laini ya simu ya...
Kwa uwekezaji uliowekwa na uliopangwa kuwekwa Chato itavuja record katika historia ya vijiji vinavyozunguka chato.
Rais Museveni leo katoa zawadi ya kujenga madarasa saba (7) hapo Nyabiresi...
Wakuu kama profile inavyosomeka hapo mm mgen humu
kuna baadh ya maneno naona yanatumiwa sana nimeshindwa kung'amua maana zake
-DAB
-MKUYENGE
-DUDU LA YUYU
-JIWE
PAPUCHI
-KIPOCHI MANYOYA...
Katika uumbaji Mwenyezi Mungu aliumba viumbe wa aina nyingi sana, viumbe hao ni pamoja na ndege, samaki wakiwamo na wanyama pamoja na wadudu watambaao na kuruka, pamoja na uumbaji huo viumbe vyote...
Kuenda kanisani siyo tatizo, ila tatizo ni ile mtu mzima kabisa na akili zako hukai ukapumua, muda wote unawaza mambo ya kanisani.
Mambo ya kanisani tuwaachieni house Girl na watoto, kidogo na...
Ndugu zangu
Habari za majukum,Naomba niende kwenye point, Nahitaji mtu wa kudizain posters za injili namanisha mfumo huu!
Sihitaji u print just desging tu.ntahitaji soft copy. Nipeni na bei
Habar wakuu,
Naomba kujuzwa kwa mwenye uelewa wa hili jambo kwa nini nyoka hujivua gamba lake? Humchukua muda gani kugundua kwamba anahitaji kulitoa gamba lake na kuwa na mwonekano mpya?
*Hekima tulizopewa tukishindwa kuzitumia basi ujinga utaziba pengo*
*Yamkini maisha yako yangekuwa sinema Leo ungewa sehemu ya ngapi usiseme uongo*
*Ninapowaza kupunguza mawazo kwa kukaa kimya...
Nawasalimu sana wananchi wote mlio hai, hata kama mna matatizo ila mshukuru sana kwa kuwa bado mna pumua, na mnao ufahamu wa kuyajua yaliyopita, yaliyopo, na yajayo, hapo mlipo bila bughudha...
Habari zenu wana jf napenda kutoa kiasi kidogo cha elimu sababu imetokea hapa mtaani kwangu nikaona vvema si vibay nikawapa faida ndugu zangu wa jf kuhusu ya kifo ,ukiota umemuota marehem...
Wakuu kwema? nilikuwa naomba msaada kwa wale waliowahi kuiona cartoon ya muda mrefu na ilikuwa inaonyeshwa itv kipindi hiko,story yake kuna mtu mkubwa kama sisi binadamu wa kawaida ila ataibujia...
Naomba kusaidiwa kwa mwenye PDF ya kitabu cha the secret, nilikuwa naendelea kukisoma kwa bahati mbaya PC yangu ime collapse, kwa mwenye nacho naomba aweke PDF hapa no download!!
Asanteni!
IGP Simon Sirro
MKUU wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Simon Sirro amesema, watu watano wanaoshukiwa kuhusika katika tukio la mauaji ya Watanzania tisa nchini Msumbiji, wanashikiliwa na vyombo vya...
Tokea majuzi vyombo mbalimbali nimeona vikiandika Habari za matokeo Ya kidato cha sita mengine yakielezea kua ni maajabu bado sijajua nini kimekua tofauti Safari hii ingawa nimeona ufaulu ni...
Wakuu poleni na majukumu [emoji41]
kwanza wote ambao hawaamini uwepo wa mungu wafanye hv [emoji137]
Tukirudi kwenye mada; zifuatazo ni sababu za kuamini ufufuo na siku ya kiama kiujumla...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.