Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,814
- 18,808
Mfanyabiashara wa Zanzibar aitwaye Mbawala alikutwa na manispaa akinywa pombe mwezi wa Ramadhani na kukamatwa kisha kuamriwa kuifunga biashara yake na kunyang'anywa leseni
Mbawala baada ya kuifunga aliipeleka manispaa mahakamani na manispaa ikaamriwa kumlipa Mbawala milioni 37
Manispaa ikagoma kulipa, sasa Mbawala akaenda kubeba gari la manispaa
Sikiliza zaidi hapa
Chanzo: Jahazi, Clouds FM