Sisi watu wa Chato hatuhitaji airport, haina tija kwetu

ndanda masasi

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
772
1,177
Ethiopia kuna ndege nyingi ila kila Leo hali ya uchumi iko mbaya zaidi .
Tunahitaji pembejeo za kisasa katika kilimo
Tunahitaji viwanda vidogo vidogo sio vikubwa
Tunahitaji Maji safi na salama
Tunahitaji Huduma za afya ziwe bora zaidi
Na mengi mengi na sio Airport hii itakuwa kwa ajili ya watu wachache hatufai kabsaa.
 
Si yuko huko nenda kijijini kwake ukamwambie!
 
Ethiopia kuna ndege nyingi ila kila Leo hali ya uchumi iko mbaya zaidi .
Tunahitaji pembejeo za kisasa katika kilimo
Tunahitaji viwanda vidogo vidogo sio vikubwa
Tunahitaji Maji safi na salama
Tunahitaji Huduma za afya ziwe bora zaidi
Na mengi mengi na sio Airport hii itakuwa kwa ajili ya watu wachache hatufai kabsaa.
tunahitaji barabara hadi mashambani
 
Tafiti za kisailolojia zinaonesha kuwa Binadamu hufikiria kwanza weakness yake kubwa kuliko chochote, hivyo kusaidia kugubika wengine wasijue kuwa hiyo ndiyo weakness yake kubwa.....Nasikia kuna mkuu anaogopa sana sana kupanda ndege!
 
Ethiopia kuna ndege nyingi ila kila Leo hali ya uchumi iko mbaya zaidi .
Tunahitaji pembejeo za kisasa katika kilimo
Tunahitaji viwanda vidogo vidogo sio vikubwa
Tunahitaji Maji safi na salama
Tunahitaji Huduma za afya ziwe bora zaidi
Na mengi mengi na sio Airport hii itakuwa kwa ajili ya watu wachache hatufai kabsaa.
Kusema kwako hakuta mzuia Ngosha kujenga uwanja, hata hivyo Ngosha anajua uwanja hauna tija kwenu ila anaujenga ili awe anatua yeye kipindi akingali madarakani.
Hata hivyo tulishakosea hesabu zetu October 2015 hasa nyie watu wa Chato najua wengi wenu mlifanya ukabila mlipoona anayegombea anatoka kwenu mkaona atawafaa mkamchagua haraka haraka.
Mtazidi kuisoma namba mlijua hali ya uchumi ikiwa mbaya itawahusu wananchi walio wafuasi wa upinzani peke yake?
Mtatia adabu awamu hii na badoooo
 
Ethiopia kuna ndege nyingi ila kila Leo hali ya uchumi iko mbaya zaidi .
Tunahitaji pembejeo za kisasa katika kilimo
Tunahitaji viwanda vidogo vidogo sio vikubwa
Tunahitaji Maji safi na salama
Tunahitaji Huduma za afya ziwe bora zaidi
Na mengi mengi na sio Airport hii itakuwa kwa ajili ya watu wachache hatufai kabsaa.
Tunajua hamna uwezo wakupanda ndege . kwanza mpande mwende wapi mwanza au Bukoba mjini?

hicho ni kiwanja chetu sisi waungwana wazungu weusi. mkome kukitajataja hakiwahusu
 
Back
Top Bottom