*GAVANA SHILATU ATEMBELEA MAGHALA YA UFUTA*
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Afisa Tarafa Mihambwe *Ndugu Emmanuel Shilatu* ametembelea Maghala ya vyama vya msingi yanayopokea ufuta kupitia mfumo wa...
*SHAKA: Stiegler's Gorge ni Kielelezo cha Uhuru Wetu*
"Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa Morogoro tunapongeza ujasiri wa Rais Dk John Magufuli kusimamia na kuzindua mradi wa Stiegler's Gorge baada...
Shirika la Viwango nchini (TBS) liko mbioni kufanya msako dhidi ya wauzaji wa matairi chakavu, yaliyozidi muda wa miaka 8 tangu kutengenezwa kwake. Oparesheni hiyo itayakumba maduka yote yanayouza...
Habari za kwenu wakuu
Mwenzenu nina shida hii,ushauri wenu utafaa sana
Kiufupi ni kuwa
Miaka mingi kidogo nikiwa masomoni huko Dar es Salaam nilibahatika kumpata binti mmoja ambaye baada ya...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa Mkoa wa Tabora imemfikisha Mahakamani, aliyekuwa Meneja wa TARURA Halmashauri ya Wilaya ya Nzega Mhandisi Mwita B. Joram kwa tuhuma za kuomba na kupokea...
Ni hivi majuzi tu nimekwenda kuomba nyumba ya mpangaji wangu mmoja iwekewe metre ya Luku ya kujitegemea.Katika hali ya kushangaza baada ya kufanya taratibu zote zilizotakiwa ndani ya ofisi za...
Kila nikifungulia channel ya u tv na azam two nakuta makala mbalimbali zinaongelea ulaji wa panya hadi nashawishika na mimi kupata kitoweo hicho..
Jana walikua hadi na mtaalamu akimimina sifa...
Kwenye hichi wanachokianzisha wanataka waanzishe nyingine TRA ya polisi. Sijui huwa ni nani anaetoa haya mawazo na sijui sababu ni nin kuweka torch usiku. Kuna vitu vidogo vidogo vinavyosababisha...
Binafsi nimefoji vyeti vyangu vya 'O' level na 'A' level, wenzangu wote waliofoji kama mimi wamepewa adhabu kali sana ikiwemo kufukuzwa kazini na kudhalilishwa, lakini mimi ndio kwanza...
Nilistaajabu sana kuona kwamba,
sumu humsamehe mwanaadam,
pale inapobembelezwa na maziwa,
Naye kiziwi atafarijiwa na kiziwi pia,
Hiyo ndiyo asili ya dunia.
Nastaajabu sana kuyajua haya,
hata...
Kwa siku takribani 2 nilikuwa kifungoni baada kupewa ban.Ban uisikiage tu kwetu tulio wahi kuipata.Kwa siku hizi mbili nimeteseka sana,kitu ambacho huwa kinafanya ninunue bando ni Jamii forums...
Hamisi Saidi (38) ‘Meshack’ ambaye ni mfanyabiashara na Mkazi wa Gezaulole wilaya ya Kigamboni, Dar es Salaam amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akituhumiwa kumuua mke wake Naomi...
Habari za pilika pilika wakuu??? Niende kwenye mada moja kwa moja.
Kuna gari 4 aina ya Nissan Patrol Y60 na Y61 hizi gari zinakodishwa sasa swali langu je kuna kampuni au taasisi ambayo huwa...
Nimekuwa nikisikia magari madogo yakiibiwa mara kwa mara mikoani hasa Arusha na Dsm.
Sijawahi kusikia basi fulani limeibiwa.
Ni woga au ndumba ? Kwanini mabasi huwa hayaibiwi ?
Wakuuu hamjambo? Naomba niende kwenye hoja Yangu.
Nimekuwa msikilizaji mzuri Wa Wa vipindi vya redio,kinachonistaajabisha ni haya matangazo ya vifo,nimekuwa nikijiuliza kuna haja gani ya...
Sikiliza hii clip. Kuna mama ameibiwa fedha baada ya kukodisha bajaji. Ameshikiwa kisu huku bajaji inaendeshwa. Akanyanganywa simu na kulazimishwa kutowa namba za siri za mobile wallet. Ikaja...
habari zenu wakuu kuna mdogo wangu nampigia naona hapatikani yuko huko sitimbi, mimi niko mbali sasa uzuri vyeti vyake ninavyo kwa email yangu na nimeona STAMI GOLD wametoa nafasi za kazi ambazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.