Udukuzi wa Serikali

Udukuzi wa Serikali

Kwa taarifa hii wabongo wote mnaotumia mitandao yote Bongo ni bora kujihesabu kwamba mshadukuliwa.

Hata JF usitume sensitive info zako.

Si kwa sababu ya kutoiamini mitandao hii, bali kwa sababu ya kuchukua tahadhari tu.
 
1564592525582.png
 
Mimi moja wapo naamini kwa asilimia zote tumeshadukuliwa vya kutosha tena bado wanaendelea tu kutudukua, sina amani kabisa😬😴
 
Mimi meseji zangu za kupiga mistarii tuu... wadukue ti wapate nondo za kung'oa totoz kalii
 
Ukweli mtupu Mkuu.
tatizo ni kwamba watu wenye kuitwa ''ma intelijensia'' wako nyuma sana na hawajui wanakoelekea na wanakotaka kwenda mwisho wa siku wanatumia nguvu na mabavu ...kama wanfelitumiaakili wala hata hiyo vodacom isingejua kama inadukuliwa wengi wao wanavamia fani wasizozijua....being a spy you need to be smart
 
Back
Top Bottom