thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,270
- 9,116
Bilionea wa India V.G. Siddhartha amekutwa amefariki baada ya kupita siku mbili toka atoweke, inaelezwa mwili wake umekutwa kwenye ukingo wa Mto Netravati na Polisi wanachunguza kama aliamua kujitoa uhai wake.
Ingekua hapa bongo servar ya jamii forum na baadhi ya mitandao ya kijamii zinge jam
Mashambulizi yakielekezwa kwa serikali kuhusika[emoji23]
Ingekua hapa bongo servar ya jamii forum na baadhi ya mitandao ya kijamii zinge jam
Mashambulizi yakielekezwa kwa serikali kuhusika[emoji23]