A3M
Member
- Jul 23, 2019
- 84
- 179
Habari wana JF,
Nimebahatika kupata visa ya kwenda Marekani kwenye mkutano utakaofanyika Washington D.C tarehe 19 August mwaka huu.Itakuwa mara yangu ya kwanza kupanda ndege hivyo hata taratibu za Airport sizijui hivyo sitaki nipate aibu nitakapofika pale uwanjani kwa kutojua cha kufanya.Tafadhalini kwa mwenye uzoefu anisaidia kwa kunieleza step by step.Natanguliza shukrani kwa atakaenisaidia