Kinyonga

Kinyonga

Bill9

Member
Joined
Jul 21, 2019
Posts
39
Reaction score
119
TABIA YA KINYONGA.ubadilika rangi kulingana na nazingira kama ni kijani huwa kijani kama ni blue huuwa blue na pia hutembea taratibu kama vile andako c mbali, vijana wengi na wazee pia wanatabia ya kinyonga acha hyo tabia kuwa na msimamo fanya mambo yako bila kuangalia watu wengne fanya kaz kwa waledi bila kuogopa hyo ndio kaz yako ata kama watu wanaidharau hyo ndio ofsi yako simama mwenywe jitafakal kisha chukua hatua . MUNGU AWE MBELE MENGNE YAFUATE BAKI NA MSIMAMO TEMBEA KIFUA MBELE OGOPA KUISH KIMAZOEA KIJANA BADILIKA
 
Back
Top Bottom