Ni sehemu gani kati ya hizi zifuatazo ni nzuri kwa Kuwatesea na hata ikibidi Kuwauwa Wanyama wangu Wasumbufu Nyumbani?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,864
Nina Wanyama wangu ninaowafuga ( watunza ) hapa Kwangu lakini naona ni kama vile sasa wananisumbua na kama vile wananikwamisha mambo yangu huku wakichangia mno kuharibu Ustawi mzima wa wana Familia wangu hivyo nataka sasa kuanza kuwa nawateka Kisirisiri bila wengine kujua kisha naenda Kuwatesa Kwanza na ikibidi pia nitakuwa nawauwa huko huko tu ili nipumzike na Kero ( Karaha ) zao.

Je ni maeneo gani kati ya haya yatanifaa?

Mbweni
Kisarawe
Mbande
Mikocheni

Nitashukuru kwa majibu yenu wana Jamvi.
 
Ngoja wazee wa code#wataalam wa kutesa waje wakupe majibu

Ova

Nawasubiri Mkuu kwani hawa Wanyama wangu ninaowafuga hapa Kwangu naona wanataka Kunikwamisha mno mambo yangu na wanataka Kunigombanisha na wana Familia wangu hivyo kuna Ushauri niliupata kutoka kwa Rafiki zangu Wawili wakubwa sana Mmoja wa Rwanda na mwingine wa Uganda ambao Wao wana uzoefu mkubwa wa hawa Wanyama ' Wasumbufu ' hivyo wamenishauri kwamba ama niwe nawateka Kisirsiri bila Wanyama wenzao wengine kujua au nikiwateka pia nikawatese huko Kwanza kisha niwauwe ili wasije wakawaambukiza ' Upopoma / Upumbavu ' wao hawa Wanyama wengine nilionao hapa Kwangu.
 
MBANDE panafaa kwa shughuli yako mkuu, kwanza kuna mapori na milima ya kutosha, halafu pili wakazi wa huko hawana simu za kisasa (Smart Phones) na si watumiaji wa mitandao ya kijamii sana. Tatu hata ukiamua kudukua sim zao si wenyeji wa kusambaza taarifa za malalamiko. Hivyo RISK ya kukupiga picha na kusambaza taarifa mitandaoni itapungua sana.

Vyombo husika vya HAKI ZA WANYAMA mpaka waje kupata taarifa za malalamiko, hao wanyama wako watakua wameshachezea NAKOS/VITASA/VIRUNGU na UPPER-CUT za kutosha tu sana. Pengine hata utakua umeshawapoteza katika RAMANI ya dunia kabisa.
 
MBANDE panafa mkuu, kwanza kuna mapori na milima ya kutosha, halafu wakazi wa huko hawana simu za kisasa (Smart Phones) na si watumiaji wa mitandao ya kijamii sana. Hivyo RISK ya kukupiga picha na kusambaza mitandaoni itapungua.

Kwahiyo unadhani kwa hizi Sifa za Mbande huko patanifaa kutekeleza hii azma yangu ya ' Kuwakomesha ' hawa Wanyama wangu ' Wasumbufu ' Mkuu? Kwani Mkuu hata Kuwateka au Kuwatesa au Kuwaua hawa Wanyama wangu kuna haja ya Picha zao Kupigwa na Watu wajue? Kwani Wanyama hawa wanawahusu nini nyie Wanadamu?
 
Nawasubiri Mkuu kwani hawa Wanyama wangu ninaowafuga hapa Kwangu naona wanataka Kunikwamisha mno mambo yangu na wanataka Kunigombanisha na wana Familia wangu hivyo kuna Ushauri niliupata kutoka kwa Rafiki zangu Wawili wakubwa sana Mmoja wa Rwanda na mwingine wa Uganda ambao Wao wana uzoefu mkubwa wa hawa Wanyama ' Wasumbufu ' hivyo wamenishauri kwamba ama niwe nawateka Kisirsiri bila Wanyama wenzao wengine kujua au nikiwateka pia nikawatese huko Kwanza kisha niwauwe ili wasije wakawaambukiza ' Upopoma / Upumbavu ' wao hawa Wanyama wengine nilionao hapa Kwangu.
Duh!
Kweli umewachoka, Ngoja wazee taknik waje

Ova
 
Nina Wanyama wangu ninaowafuga ( watunza ) hapa Kwangu lakini naona ni kama vile sasa wananisumbua na kama vile wananikwamisha mambo yangu huku wakichangia mno kuharibu Ustawi mzima wa wana Familia wangu hivyo nataka sasa kuanza kuwa nawateka Kisirisiri bila wengine kujua kisha naenda Kuwatesa Kwanza na ikibidi pia nitakuwa nawauwa huko huko tu ili nipumzike na Kero ( Karaha ) zao.

Je ni maeneo gani kati ya haya yatanifaa?

Mbweni
Kisarawe
Mbande
Mikocheni

Nitashukuru kwa majibu yenu wana Jamvi.
Mwabepande pako vizuri hasa kutesea panya buku na kunguni
 
Kwahiyo unadhani kwa hizi Sifa za Mbande huko patanifaa kutekeleza hii azma yangu ya ' Kuwakomesha ' hawa Wanyama wangu ' Wasumbufu ' Mkuu? Kwani Mkuu hata Kuwateka au Kuwatesa au Kuwaua hawa Wanyama wangu kuna haja ya Picha zao Kupigwa na Watu wajue? Kwani Wanyama hawa wanawahusu nini nyie Wanadamu?
Mkuu wazungu wanasema "NEVER UNDER ESTIMATE SMALL MINDED PEOPLE, WITH LITTLE AUTHORITY", usiwadharau watu wenye fikra finyu na wasio na mamlaka yoyote, hawa wanaweza wakakusababishia MSONGO WA MAWAZO aisee, ukaishia kuwageuka hata hao hao WANA FAMILIA wako ambao unajaribu kuwasaidia kutokana na hao WANYAMA wako wasumbufu..
 
Nina Wanyama wangu ninaowafuga ( watunza ) hapa Kwangu lakini naona ni kama vile sasa wananisumbua na kama vile wananikwamisha mambo yangu huku wakichangia mno kuharibu Ustawi mzima wa wana Familia wangu hivyo nataka sasa kuanza kuwa nawateka Kisirisiri bila wengine kujua kisha naenda Kuwatesa Kwanza na ikibidi pia nitakuwa nawauwa huko huko tu ili nipumzike na Kero ( Karaha ) zao.

Je ni maeneo gani kati ya haya yatanifaa?

Mbweni
Kisarawe
Mbande
Mikocheni

Nitashukuru kwa majibu yenu wana Jamvi.
Hili sijui,mkuu karibu tena,mbona umeadimika sana siku hizi...?
 
Duh!
Kweli umewachoka, Ngoja wazee taknik waje

Ova

Nawasubiri Mkuu labda wanachelewa Kunijibu kwakuwa wanawaza wapi kati ya Mbweni, Mbande, Kisarawe na Mikocheni patanifaa hasa ili waweze Kunishauri Kiukamilifu. Mkuu hawa Wanyama wangu wananisumbua mno na sijui ni kwanini nilikubali hili Jukumu zito la Kuwafuga hivi. Na kibaya zaidi kuna Wanyama wengine nawafuga hapa nimegundua wana Akili kubwa kuliko hata Mimi ninayewafuga hivyo naogopa wanaweza ' Kunikwamisha ' sana Mipango yangu ya Kiustawi na Familia yangu hii.
 
Hayo mambo hukujifunza kwa hiyo nyumba ya jirani maaana nae naskia ana tabia hizo hizo

Anyway ukiwaua naona utakua umeingia hasara bora uwauze mkuu wangu gentah
 
Mkuu wazungu wanasema "NEVER UNDER ESTIMATE SMALL MINDED PEOPLE, WITH LITTLE AUTHORITY", usiwadharau watu wenye fikra finyu na wasio na mamlaka yoyote, hawa wanaweza wakakusababishia MSONGO WA MAWAZO aisee, ukaishia kuwageuka hata hao hao WANA FAMILIA wako ambao unajaribu kuwasaidia kutokana na hao WANYAMA wako wasumbufu..

Sijakuelewa hapa Mkuu na sijui hiki ulichokiandika hapa kina Uhusiano gani na Mada yangu hii ya kuwahusu ' Wanyama ' wangu hawa Wasumbufu.
 
Back
Top Bottom