Hakuna stand up comedy bongo.

MWANA ileje

JF-Expert Member
Oct 22, 2016
750
566
Wana jamvi katka research yangu hapa bongo land sijaona mbongo anaefanya ile stand up comedy vile inavotakiwa...In short wengi wao hawaitendei haki hii kitu nionacho mimi wanaishia kubwabwaja tu nakuongea vtu vya kuwachekesha watt wa primary school huko....mfano mtu kama mc pilipili anachochekesha ata simuelew kabisa it's better ange base kwenye u mc tu, kuna huyu mwngne Iddrisultan yan nliona show yake1 kule Rwanda cjui alialijwa aiseee nkajikuta aibu naona mimi yaani anataftiza tu maneno na mwsho wasiku analazmisha watu wacheke au sometimes anajkuta anacheka mwnyw as the time akapigiwa makof ishara yakutokumvunja moyo but we nye akili tuliyanotes....kuna aliewah kuibuka the so called Evans bukuku yan cjui ata Alifia wap oh my God.
To be honest Kenyans are the best than us kwakuwa consider Eric omond and the so called pastor kush huwez ukawacompare na mtu kama Steve nyerere mwanzo wa show ad mwsho anasifia Bashite na riz1 ambao walikuwa ndo wagen rasmi kwny show yake....
In short wa bongo tuna mess up kwny hii kitu....stand up comedy is something else just imagine watu wanakuja from different angle of the city kwa show yako na inatakiwa watoke wameburudika wame reduce stress zao n.k kuchekesha mtu mzima kazi sana kwa hili ma stand up comedian wetu they need to lean more and more.
 
ulishafika kwenye Cheka 2? There are funny guys in there
 
Tafuta show inaitwa cheka tu. Search hata YouTube utaona videos zao. Kuna vijana wachache kama deogratius, coy mzungu, optalema. Wanao attend show zao wanaelewa.

Kwa kukusadia na kusaidia wengine

Show huwa ipo kila ijumaa ya mwisho wa mwezi pale millennium towers makumbusho.
 
Kenya pia wana Churchil show... kule wana ma-comdedian wapo poa sana...

Tanzania Evans Buku alianza vizuri ila akaona hailipi akaachana nayo...

Cc: mahondaw
 
Kuna hao na bongo movie sijawahi kuwakubali ata siku moja yaani utoto utoto mtupu hawako serious kabisa sijui huwa wanawalenga watoto tu. Yaani ni aibu kuangalia hawa watu.
 
Tafuta show inaitwa cheka tu. Search hata YouTube utaona videos zao. Kuna vijana wachache kama deogratius, coy mzungu, optalema. Wanao attend show zao wanaelewa.

Kwa kukusadia na kusaidia wengine

Show huwa ipo kila ijumaa ya mwisho wa mwezi pale millennium towers makumbusho.
Nilibahatika kuona hii show jamaa wanajua sana.
 
Back
Top Bottom