Serikali imeikabidhi televisheni ya Azam leseni ya kuonyesha chaneli za ndani bure

Kigose

Member
Jul 24, 2019
11
16
Kufatia taarifa ya serikali juu ya kuipatia azam media leseni ya kuruhusu kuonyesha CHANELI za ndani ya mwezi may mwaka huu

IN SUMMARY
Serikali imeikabidhi televisheni ya Azam leseni ya kuonyesha chaneli za ndani bure
Advertisement
Dodoma. Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye amelieleza Bunge leo Jumanne Mei 14, 2019 kuwa kituo cha televisheni cha Azam jana Jumatatu kimepokea leseni ya kuonyesha chaneli za ndani bure.
Pia, Nditiye amesema katika kipindi cha miezi saba watajenga mfumo wa kurusha chaneli hizo, hivyo wananchi wanapaswa kuvuta subira.
Naibu waziri ametoa kauli hiyo akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Mlalo (CCM), Rashid Shangazi, aliyehoji ni kwa nini Azam wananyimwa haki ya kuonyesha channel za ndani bure.
"Je, Serikali haioni kuwanyima haki hiyo wakati wengine wamepewa ni kukiuka ibara ya 18 ya katiba ambayo inatoa haki ya kupata habari, lakini hata Rais wetu anatumia Azam kurusha matangazo yake hivyo tungejitangaza hadi nje," ameuliza Shangazi.
Katika swali la msingi, Mbunge wa Nyamagana (CCM), Stanslaus Mabula, aliuliza Serikali iwapo haioni kupitia TCRA kuwafungia local channels (chanel za ndani) baadhi ya ving'amuzi ikiwamo Azam TV, DSTV na vingine imewanyima wananchi fursa ya kupata habari
Source #gazetilamwananch

Na taarifa hiyo Azam walitoa tamko kuwa ifikapo tarehe 27 ya mwezi was 7 waturuhusu matangazo hayo kuwa hewani.
Je kinachoendelea ni Nini Azam mtupe majibu?
 
Silipii mpaka siku nikisikia channel za ndani zimerudi. Ni aibu naangalia habari kupitia channel za Kenya, Uganda, rwanda
 
Naangalia mpira tu. Ndio sababu ya kuwa na AzamTV la sivyo naangalia Startime hili kuona chaleni za kibongo. CEO wa Azam nd Tiddo Muhando ndiye wa kulaumiwa, walisha pewa ruhusa
 
Kufatia taarifa ya serikali juu ya kuipatia azam media leseni ya kuruhusu kuonyesha CHANELI za ndani ya mwezi may mwaka huu

IN SUMMARY
Serikali imeikabidhi televisheni ya Azam leseni ya kuonyesha chaneli za ndani bure
Advertisement
Dodoma. Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye amelieleza Bunge leo Jumanne Mei 14, 2019 kuwa kituo cha televisheni cha Azam jana Jumatatu kimepokea leseni ya kuonyesha chaneli za ndani bure.
Pia, Nditiye amesema katika kipindi cha miezi saba watajenga mfumo wa kurusha chaneli hizo, hivyo wananchi wanapaswa kuvuta subira.
Naibu waziri ametoa kauli hiyo akijibu swali la nyongeza la Mbunge wa Mlalo (CCM), Rashid Shangazi, aliyehoji ni kwa nini Azam wananyimwa haki ya kuonyesha channel za ndani bure.
"Je, Serikali haioni kuwanyima haki hiyo wakati wengine wamepewa ni kukiuka ibara ya 18 ya katiba ambayo inatoa haki ya kupata habari, lakini hata Rais wetu anatumia Azam kurusha matangazo yake hivyo tungejitangaza hadi nje," ameuliza Shangazi.
Katika swali la msingi, Mbunge wa Nyamagana (CCM), Stanslaus Mabula, aliuliza Serikali iwapo haioni kupitia TCRA kuwafungia local channels (chanel za ndani) baadhi ya ving'amuzi ikiwamo Azam TV, DSTV na vingine imewanyima wananchi fursa ya kupata habari
Source #gazetilamwananch

Na taarifa hiyo Azam walitoa tamko kuwa ifikapo tarehe 27 ya mwezi was 7 waturuhusu matangazo hayo kuwa hewani.
Je kinachoendelea ni Nini Azam mtupe majibu?
Nikwaupande wa Antenna pekee na siyo sattelite dish,
 
Channel 10 tu wamerudi. Nyingine hatuoni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom