Msaada wa kumtafuta mdogo wangu Innocent Cyprian Kundy

Msaada wa kumtafuta mdogo wangu Innocent Cyprian Kundy

Joined
Feb 26, 2013
Posts
13
Reaction score
4
INNOCENT CYPRIAN KUNDY.
Mwanafunzi wa shule ya msingi Mirambo ,Darasa la saba.
PICHA YA MTAJWA HAPO JUU NI MDOGO WANGU NA AMETOROKA NYUMBANI TANGU JUMAPILI JIONI.(21-07-2019)
NAOMBA MSAADA KWA YOYOTE ATAKAYEMUONA POPOTE PALE NAOMBA ANISAIDIE KUFIKISHA TAARIFA KWA NAMBA +255789777557 au +255657565722
RB no.KW/RB/4727/2019.
+255 789 777 557 20190802_034331.jpg
 
Pole mkuu,tunakuombea kwa Mungu ili apatikane akiwa hai...
 
Mbona hakuna maelrzo yoyote kuhusu mahali, mazingira yenu. Hiyo shule iko wilaya gani na mkoa gani
 
Kwanini umesema ametoroka mkuu?? Au Ni kutokana na mazingira ya kutokuonekana kwake??

Mungu amlinde huko alipo
 
Mara nyingi sana watoto wanaotoroka shule huwa hawana maendeleo mazuri darasani ..!mtoto anayependa shule hata akiumwa anataman aende shule..
 
Mara nyingi sana watoto wanaotoroka shule huwa hawana maendeleo mazuri darasani ..!mtoto anayependa shule hata akiumwa anataman aende shule..
 
Back
Top Bottom