Bei ya maji yapaa?

Bei ya maji yapaa?

cc2500

Senior Member
Joined
May 31, 2018
Posts
124
Reaction score
223
Habari waungwana nimepatwa na mshangao baada yakupokea bill mpya ya maji mwezi July, mfano mwezi juni nilitumia units 33 bill ilkuwa 27212/= ya mwezi july units 23 bill 31415/= huko kwenu vp, au ni Mwanza tu.
 
Hahaha mnataka meli mpya, vivuko, na madaraja halafu mnachungulia bills kiasi hicho?!
Vizuri gharama, changieni maendeleo hivyo ndivyo serikali yenu inakusanya pesa.
Hizo ndio pesa za ndani ambazo serikali huwa inaongezea pale ambapo mikopo inashindwa kutosha kwenye miradi yenu.
 
😁😁😀
 
Habari waungwana nimepatwa na mshangao baada yakupokea bill mpya ya maji mwezi July, mfano mwezi juni nilitumia units 33 bill ilkuwa 27212/= ya mwezi july units 23 bill 31415/= huko kwenu vp, au ni Mwanza tu.
Unit moja ni sawa na lita ngapi mkuu
 
Back
Top Bottom