digalangosha
JF-Expert Member
- Aug 30, 2013
- 1,574
- 2,292
Habarini wakuu
Nikiwa safarini jijini dodoma nilienda bar moja ipo eneo la makole, kuna meza walikua wamekaa mahakimu na binti mmoja....baada ya dakika chache alitoka binti mmoja nje na mwanaume mmoja kutoka kwenye meza hile wakawa wanaongea nje, then akatoka na mwanaume mwingine kwenda nje....gafla ilizuka vurumai na mmoja wa wanaume hao alitoa bastola na kusababisha bar nzima tukaanza kutafutana...
Dakika chache badae yule mwanamke aliondoka na mwanaume mmoja, na yule mwanaume mwingine aliyeshikiwa bastola alibaki huku akilalamika kuwa kashamgharamikia sana huyo demu...
Dada mwenye grocery badae palivyopoa ndio akatupa abc kuwa, hao ni mahakimu na walijikuta wote wanatembea na mwanamke mmoja, lakini badae hakimu mmoja alikua na uchumi zaidi ndio kumnunulia huyo binti brevis mpyaaa, na ndio ilipelekea huyo mwingine (mnyonge) kuwa na kinyongo..
My take:
Watumishi kuweni makini na maugomvi haswa kwenye mabaa huku mnatia aibu...sasa kwa tukio kama hili ambalo am sure lishamfikia mtendaji wa mahakama, mnaweza shangaa mnapigwa chini bure...