Mimi ni mwanafunzi wa Bachelor (Civil Engineering) mwaka wa tatu. Ninatafuta field mkoa wa Dar Es Salaam.

Paa

JF-Expert Member
Jun 12, 2015
1,449
2,924
Nina ujuzi katika maeneo yafuatayo,
1. AutoCad
2. ArchiCad
3. Master Series
4. AutoCad Civil 3D
5. Excel n.k.
Nina matokeo mazuri, nina uwezo wa kufanya kazi vizuri kulingana na specifications. Ni mwaminifu kabisa na mchapa kazi.

Ninahitaji Upande wa majengo na barabara katika kampuni binafsi na hata taasisi za kiserikali (mf TANROADS, TBA, NHC au TARURA)

Kwa Engineers, Consultants, Clients au mtu yeyote anayeweza kuniunganisha na mahali ambapo ninaweza kupata field inayoendana na mambo Civil Engineering naomba uniunganishe.

Ninahitaji mahala pa kujifunzia na kupata uzoefu zaidi katika kazi. Natanguliza shukrani. Na muwe na siku njema.
 
Sahani ya wali Bei gani hapo mgahawani kwako
Wali maharage, mchuzi wa nyama (bila nyama), na mboga za majani nauza Tshs.1,000/=
Wali nyama, mbogamboga na maharage nauza Tshs.1,500/=
Wali samaki aina zote Tshs.2,000/=
Wali kuku nauza Tshs. 2,500/= (kipande kidogo cha kuku sio robo)
NB: Nina wahudumu warembo wa kunawisha wateja, kuwachonoa meno kwa toothpick kama mteja amechokoa kujichonoa, kuwafuta midomo (kwa tissue), pia kuwavalisha eproni wale wateja wanao kula vibaya vibaya yaani wanajidondesha vyakula wakati wa kula.
😔😔😔😔😔😔😔
 
Hudumu nyingine hizi mimi sizitaki nataka ya kwanza hiyo ya 1000 wahudumu sina shida nao shida msosi Tu
 
Habari,mwaka wa tatu nazani mnaenda kwenye Consulting firm,ukweli ni kwamba Consulting firm nying zmekufa na zilizopo hawana miradi,au hata kama ukienda hutokuta miradi mipya,hii yote imetokana na Sera za bwana Mkubwa yule anayesema hashauriki.kama unaweza nenda site especially kwenye majengo ,nenda office za TBA mkoa hao ndo wenye kazi kwa awamu hii ya bwana Mkubwa, ukikosa kabisa nenda Suma Jkt,ila kwa makampuni binafsi mengi yamekufa.
 
Ugali noah ipo?
Wali maharage, mchuzi wa nyama (bila nyama), na mboga za majani nauza Tshs.1,000/=
Wali nyama, mbogamboga na maharage nauza Tshs.1,500/=
Wali samaki aina zote Tshs.2,000/=
Wali kuku nauza Tshs. 2,500/= (kipande kidogo cha kuku sio robo)
NB: Nina wahudumu warembo wa kunawisha wateja, kuwachonoa meno kwa toothpick kama mteja amechokoa kujichonoa, kuwafuta midomo (kwa tissue), pia kuwavalisha eproni wale wateja wanao kula vibaya vibaya yaani wanajidondesha vyakula wakati wa kula.
 
Habari,mwaka wa tatu nazani mnaenda kwenye Consulting firm,ukweli ni kwamba Consulting firm nying zmekufa na zilizopo hawana miradi,au hata kama ukienda hutokuta miradi mipya,hii yote imetokana na Sera za bwana Mkubwa yule anayesema hashauriki.kama unaweza nenda site especially kwenye majengo ,nenda office za TBA mkoa hao ndo wenye kazi kwa awamu hii ya bwana Mkubwa, ukikosa kabisa nenda Suma Jkt,ila kwa makampuni binafsi mengi yamekufa.
Nashukuru kwa mchango wako
 
Wali maharage, mchuzi wa nyama (bila nyama), na mboga za majani nauza Tshs.1,000/=
Wali nyama, mbogamboga na maharage nauza Tshs.1,500/=
Wali samaki aina zote Tshs.2,000/=
Wali kuku nauza Tshs. 2,500/= (kipande kidogo cha kuku sio robo)
NB: Nina wahudumu warembo wa kunawisha wateja, kuwachonoa meno kwa toothpick kama mteja amechokoa kujichonoa, kuwafuta midomo (kwa tissue), pia kuwavalisha eproni wale wateja wanao kula vibaya vibaya yaani wanajidondesha vyakula wakati wa kula.
Mbona bei ndogo sana.unapata faida?
 
Back
Top Bottom