Natafuta waimbaji wa Injili maeneo ya Mwanza, Shinyanga na Simiyu

SAYVILLE

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
5,121
7,886
Natafuta waimbaji wa nyimbo za Injili (Gospel) walioko maeneo ya Mwanza, Shinyanga na Simiyu.

Nina project nafanya inaweza kuwasaidia sana. Wasiliana na mimi mapema iwezekanavyo.
 
Unataka wanoweza kufanya concert live au project ya record ya kawaida mzee
 
Ambao wamesharekodi tayari wana nyimbo zao hata moja. Kuna mtu anataka kuwafanyia mahojiano kwa ajili ya kipindi cha television.
 
Natafuta waimbaji wa nyimbo za Injili (Gospel) walioko maeneo ya Mwanza, Shinyanga na Simiyu.

Nina project nafanya inaweza kuwasaidia sana. Wasiliana na mimi mapema iwezekanavyo.
Weka namba zako au unaogopa kutekwa mtumishi wa Mungu?
 
Hahaha, kuna jamaa yangu ndiyo anafanya hii kitu. Ngoja nimuulize kama yuko radhi niweke mawasiliano yake. Ila mnaweza kunicheki PM kwa usalama wa abiria na mali zao 😆😆
 
Back
Top Bottom