Watoto wa kike kujaa stand za daladala kuna usalama?

Watoto wa kike kujaa stand za daladala kuna usalama?

malkiamrembo

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
386
Reaction score
231
Habari ndugu zangu, hawa watoto wa shule kwa idadi yao hii ilivuokubwa na tena wengi ni wa kike hapa kuna usalama kweli? Maana naona wamejaa stand sana karibuni stand zote za hapa dsm wamejaa sana nina mashaka kama hawatakuwa na njemba hawa. Maana naona wengine wanatembea na nguo za kubadilisha kqenye mabegi yao kabisa.
 
Naona ka kuna kawivu vile!! Umeuleta huu uzi ili iweje?? Weye ni Headteacher/mistress au?? Pambana tu na hiyo hali uliyo nayo weye. Wa skuli tuachie mafataki
 
Kwani kati ya samaki na chupi kipi kinaongoza kwa kuvuliwa sana?
 
Hatari sana... na inasikitisha sana...

Wazazi hata hawajui sababu wanatoka majumbani wanafunzi, ila mtaani wanabadilika kua watu wazima...



Cc: mahondaw
 
Aise ukifika pale stend ya Mbezi mwisho ni hatari tupu! Wamejaa kila sehemu halafu na mabegi makubwa utadhani machinga wanauza mitumba! Ukiwaona wanaongea na kucheka kwa nguvu aise ni shida sn
 
Back
Top Bottom