kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,317
- 4,118
Nimefanikiwa kuishi katika majiji na miji kadhaa hapa nchi. Kuna tabia inakua kwa kasi miongoni mwa hawa dada zetu. Kumekuwa na ongezeke la wimbi kubwa la mabinti kwenda mjini asubuhi na kurudi jioni huku wakiwa hawajaajiriwa wala hawajishughulishi na biashara yoyote. Unaweza ukawa mjini ukakwaana na dada anazunguka kwny maduka lkn hana cha maana anachofnya. Na wengi wa hawa wanasaka wanaume.
Nikiwa Dar es salaam kuna binti mmoja alikuwa akiishi tabata chama na kila asubuhi akiamka yeye na kibegi kwenda kariakoo mpka jioni ila hana cha kufanya. Hata nilipokuwa Mwanza kuna kabinti kanatoka kwao Mkuyuni asubuhi mpka jioni ila hakina mchongo.
Hawa ni baadhi tu lakini janga hili linakuwa kwa kasi sana. Angalia mtaani kwako bila shaka mabinti wa dizaini hii utawaona tu.
Wanaume tunawindwa usiku na mchana. Mabinti siku hizi wanatega masaa yote.