Kutokana na tamko la RC kwamba watu wachafu wasiende mjini wakati wa mkutano wa SADC, DAWASCO wao wametangaza baadhi ya maeneo kutakuwa na tatizo la maji kwa wiki mbili, inaelekea matamko siku hizi yanakwenda zig zag style
Sasa mkuu kama kuna hilafu kwenye mfumo wa maji imetokea na urekebishaji wake utachukua hizo wiki mbili wasitangaze?
Tunatakiwa tuwe tunatafakari kwa hii hatua nzuri ambayo sekta zetu zimeifikia ya kutangaza kama kuna tatizo limetokea.
Unafikiri hilo suala lingetokea halafu wakanyamaza kimya kwa muda huo wa wiki mbili watu wangelalamikaje?
Tuwapongeze tu kwa kuwatangazia wananchi ili wajipange bajeti ya maji, lakini siyo kuwalaumu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.