Mara hii Dreamliner imesitisha safari za Mumbai?

Mara hii Dreamliner imesitisha safari za Mumbai?

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,822
Reaction score
63,245
Tulitangaziwa itakuwa inafanya safari tatu kwa wiki lkn naona ime cancel siku tatu mfululizo, tatizo nini, abiria, iko service au.

Kwa mujibu wa Mkuu wa mawasiliano wa ATCL, dreamliner itakuwa inatoka Dar es Salaam kila Jumatano, Ijumaa na Jumapili na kurudi kutoka Mumbai Jumatatu, Alhamisi na Jumamosi.

IMG_20190729_231255.jpg
 
View attachment 1166679
Expansion joint
 
Hivi utaacha lini tabia za kike?
 
Ipo haja yakuangalia hizi route, rwandair wanaenda mumbai maratatu, atcl maratatu KQ maratatu ethiopia maratatu abiria wako wapi?

Kwanini haya mashirika yasikae pamoja na kuachiana route?
 
Safari zake ni kila Jumatano, Ijumaa na Jumapili na kurudi kutoka Mumbai Jumatatu, Alhamisi na Jumamosi, lkn imepaki airport.

Mbona tuliambiwa gharama za parking ni kubwa sana kwanini wasiifanye iwe inakwenda na kurudi same day
 
Tulitangaziwa itakuwa inafanya safari tatu kwa wiki lkn naona ime cancel siku tatu mfululizo, tatizo nini, abiria, iko service au.

Kwa mujibu wa Mkuu wa mawasiliano wa ATCL, dreamliner itakuwa inatoka Dar es Salaam kila Jumatano, Ijumaa na Jumapili na kurudi kutoka Mumbai Jumatatu, Alhamisi na Jumamosi.

View attachment 1166679
juzi niliona andiko kule instagram kusema imekua grounded after few flights to mumbai nikaogopa kuiweka jf kwa maana hadi sasa atakua amefura kule aliko magogoni.kwa ufupi zinatakiwa dolla nyingi sana kuifanyia matengenezo pesa ambayo ingewalipa wafanyakazi malimbikizo yao ya madeni na nyongeza za mishahara yao ambayo kwa miaka mnne sasa inakatika.so tutegemee maumivu makubwa kuifanyia maintenance wakati huohuo pesa zikichotwa hazina kuu
 
Air Tanzania wamechemka flight ya masaa machache kutumia Boeing 787 Dreamliner isiyojaza abiria wa kutosha kwenda Mumbai.
airbus a220

Picha ndege ya Air Tanzania A220-300

Habari za punde ni kuwa Air Tanzania ina mpango wa kutumia ndege ndogo za Airbus A220-300 kwenda Mumbai na huku ndege kubwa Dreamliner 787 kwenda Ulaya na Mashariki ya mbali Bangkok Thailand au China ruti za masafa marefu. Changamoto kubwa ni Air Tanzania kujaza ili ndege zifanye biashara ya kweli na siyo kupeperusha bendera ya uzalendo tu.
Air Tanzania’s Airbus A220 might be a regular to Mumbai as airline eyes London launch
July 29, 2019
Air Tanzania may regularly deploy the A220-300 on Mumbai-Dar es Salaam route from December 2019 as it plans to launch flights to London. Air Tanzania has secured slots at London Gatwick airportfor the winter 2019 season. They plan to operate 3x weekly 787-8 services from Kilimanjaro to London Gatwick. The routing may be Dar es Salaam-Kilimanjaro-London Gatwick.

airbus a220

Air Tanzania’s London Gatwick slots Source: ACL
airbus a220

Air Tanzania’s Kilimajaro – London Gatwick Source: ACL
Looks like the first flight may be scheduled for December 1, 2019, as they have secured 102 slots (51 days of operations) for entire winter 2019 season at London Gatwick. Currently, there are no non-stop flights between Tanzania and the UK. British Airways used to operate flights to Dar es Salaam with a 767. They discontinued the route in 2013 after around 40 years of flying on the route.

Air Tanzania also plans to launch flights from Dar es Salaam to Guangzhou via Bangkok when they take delivery of the second 787-8.

Air Tanzania’s A220-300 has 12 recliner business class seats and 120 economy class seats whereas the 787-8 has 22 lie-flat business class seats and 240 economy class seats. While there is product downgrade in business class, this may not be the case in economy class. The 787-8 economy class seats are 31 inches wide in a 3-3-3 arrangement whereas on the A220 they are 32 inches wide in a 2-3 arrangement.
Source : https://livefromalounge.boardingarea.com/2019/07/29/air-tanzanias-a220-mumbai-london-launch/
 
Tulitangaziwa itakuwa inafanya safari tatu kwa wiki lkn naona ime cancel siku tatu mfululizo, tatizo nini, abiria, iko service au.

Kwa mujibu wa Mkuu wa mawasiliano wa ATCL, dreamliner itakuwa inatoka Dar es Salaam kila Jumatano, Ijumaa na Jumapili na kurudi kutoka Mumbai Jumatatu, Alhamisi na Jumamosi.

View attachment 1166679

Mungu huonyesha njia pasipo njia.
Mi nasema na ife kabisa, hakukuwa na concent ya watanzania ktk kununua ndege wakati dengue imeua watu kibao.
 
Back
Top Bottom