Ukata wasambaratisha disco club zilizopo mjini moshi

Hivi marina bar, corner, makando zote za majengo na makando bar pamoja na Bulawayo bar kule njoro bado zipo? Ilikuwa baa zangu za kwenda kuria jioni
 
Hivi Chang Bay bado ipo kweli...namkumbuka sana Disma pale
Chang bay one of my best simple restaurant in Moshi. Siku nikirudi moshi ntapita pale kupata ndizi rost na kuku bila kusahau ile pilipili yao na cabbage 😋😋😤😤
 
Hi biashara ya disco Tanzania wanaiua wenye hzo biashara kwa kuweka watu ambao hawajui kupiga mziki unakuta katoto kanakopiga mziki hakajui mziki hajui kupanga nyimbo alafu anapiga nyimbo anazopenda yeye Sasa ukija kwenye mabadiliko ya kiteknelojia mtu kwenye simu ananyimbo zake anazopenda Basi n ear/head phones anakaa grocery huku anakula ngoma unamwacha DJ wa club ajisikilize kwangwaru
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom