Mwenyeji Malawi

Mwenyeji Malawi

white wizard

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2011
Posts
8,618
Reaction score
13,896
Heshima kwenu wakuu!! Naomba kama kuna mtu ni mwenyeji malawi/au ana mwenyeji malawi anisaidie mawasiliano naye. Nina shida ya haraka sana. Nitashukuru sana!! Anaweza akaja pm
 
TISS kazini
Hizo ni fikra zako, tena nashangaa mkongwe kama wewe unakuwa na mawazo kama haya!! Shame on u!! Waulize wangapi nimeshakutana nao uso kwa uso kwenye shida tofauti? Muulize mr. Mobile ni mala ngapi namtuma vitu, ananiletea, kuhusu biashara ya mchele ni wangapi nimeshakutana nao na kuwasaidia mawazo jinsi ya kuifanya, kabla hujakurupuka pitia kwanza michango ya mtu ndio utamjua ni wa namna gani! Mtu ana shida una leta ujinga ambao hauna maana,Tena jina TARIMO?!!! Nimeshangaa kweli kuwa na mawazo ya KI MBWIGA??? ungekuwa labda, mbonde nisingeshangaa, tarimo???? Daaa kweli kumbe sio kila mchina anajua kunfuu
 
Kati ya nchi ambayo sijawahi kuiwazia hata watu wake na mademu wake na vyakula vyake ni Malawi.
 
Inategemea na mtizamo wako!! Ila kama ni mhangaikaji wa kutafuta fulsa kuna commodities, ambazo ni nadra sana kupatikana hapa kwetu Tz, ila ni hot kwa ukawanda huu wa EAC!!, na malawi zipo kibao tu,
 
Heshima kwenu wakuu!! Naomba kama kuna mtu ni mwenyeji malawi/au ana mwenyeji malawi anisaidie mawasiliano naye. Nina shida ya haraka sana. Nitashukuru sana!! Anaweza akaja pm
Nilikuwa na jamaa mmoja Mtu wa Malawi. Niliwahi kunsaidia alipokuwa anahangaika kuchukua gari lake pale Beforward.
Tulipotezana kwa muda sana. Kama nikifanikiwa kumpata ntakupatia mawasiliano yake. Yeye ni mkazi wa Lilongwe.
 
Kumbe tukicoment mnaangalia kwanza ID zetu n8 za lini
Hizo ni fikra zako, tena nashangaa mkongwe kama wewe unakuwa na mawazo kama haya!! Shame on u!! Waulize wangapi nimeshakutana nao uso kwa uso kwenye shida tofauti? Muulize mr. Mobile ni mala ngapi namtuma vitu, ananiletea, kuhusu biashara ya mchele ni wangapi nimeshakutana nao na kuwasaidia mawazo jinsi ya kuifanya, kabla hujakurupuka pitia kwanza michango ya mtu ndio utamjua ni wa namna gani! Mtu ana shida una leta ujinga ambao hauna maana,Tena jina TARIMO?!!! Nimeshangaa kweli kuwa na mawazo ya KI MBWIGA??? ungekuwa labda, mbonde nisingeshangaa, tarimo???? Daaa kweli kumbe sio kila mchina anajua kunfuu
 
Kumbe tukicoment mnaangalia kwanza ID zetu n8 za lini
Lazima tuangalie kulingana na comments zako!! Kwani unaweza ukasamehewa /kupongezwa kulingana na muda wako wa kuwa jf!sasa unakuta mkongwe anaongea pumba lazima tushangaee!!!
 
Hizo ni fikra zako, tena nashangaa mkongwe kama wewe unakuwa na mawazo kama haya!! Shame on u!! Waulize wangapi nimeshakutana nao uso kwa uso kwenye shida tofauti? Muulize mr. Mobile ni mala ngapi namtuma vitu, ananiletea, kuhusu biashara ya mchele ni wangapi nimeshakutana nao na kuwasaidia mawazo jinsi ya kuifanya, kabla hujakurupuka pitia kwanza michango ya mtu ndio utamjua ni wa namna gani! Mtu ana shida una leta ujinga ambao hauna maana,Tena jina TARIMO?!!! Nimeshangaa kweli kuwa na mawazo ya KI MBWIGA??? ungekuwa labda, mbonde nisingeshangaa, tarimo???? Daaa kweli kumbe sio kila mchina anajua kunfuu
kwa hiyo wakina mbonde ndo wana mambo ya kishamba sio, taratibu aisee demu wangu naye ni hao hao kwa kina mbonde
 
Sio wote mkuu!!ni washamba, Kama walivyo kina Tarimo nako kuna washamba tu!!
 
Back
Top Bottom