Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 19,520
- 37,929
.
hizi kafara zao kuelekea 2020 mbona watatumaliza,Tanga nako kuna Boat imezama
ccmNani anatoa kafara?
MabeberuNani anatoa kafara?
Hahaha kafara tenaNani anatoa kafara?
Sio hawakufata tu,kila mtu alitoka mbio matokeo yake hata msaada kwa marehemu dereva ukakosekanaHahaha kafara tena
Ila sa hivi hawakufuata mafuta
Ahahahahahahahhahaa we jamaaa eti walitoka mbiooSio hawakufata tu,kila mtu alitoka mbio matokeo yake hata msaada kwa marehemu dereva ukakosekana