Afrika hawajajua kuwa mda ni uchumi na kwamba kuupoteza ni kupoteza fursa ambayo haitakurudia tena kamwe maishani.Kwanini kusiwe na barabara za Dharura ili katika hali kama hii zitumike ili kila mmoja awahi ratiba zake?
Nadhani watakua Wanawahi kuchota mafuta nasikia kuna lorry lingine lilianguka jana.Kwanini kusiwe na barabara za Dharura ili katika hali kama hii zitumike ili kila mmoja awahi ratiba zake?
Kwani una Nini Cha maana unachowahi?Kwanini kusiwe na barabara za Dharura ili katika hali kama hii zitumike ili kila mmoja awahi ratiba zake?
Kwanini kusiwe na barabara za Dharura ili katika hali kama hii zitumike ili kila mmoja awahi ratiba zake?
Hapo nimwendo wa v8 series 200 kama nakuona vile kwenye Noah yako unavyo wa-ZoomKwanini kusiwe na barabara za Dharura ili katika hali kama hii zitumike ili kila mmoja awahi ratiba zake?
Halafu kwenye hali kama hiyo, utasikia eti kuna wananchi wamemsinamisha na akasimama. Acha tu tuendelee kugombania kusomba mafuta matenki yakipinduka. Ndio akili zetu zilipoishia.Afrika hawajajua kuwa mda ni uchumi na kwamba kuupoteza ni kupoteza fursa ambayo haitakurudia tena kamwe maishani.
Haaaaa haaaaacha msingi ni sote kupambana tupate madaraka ili tukabanane huko huko maoficn
Usifikiri wote wanaishi kwa kutegemea buku 7 kama weweKwani una Nini Cha maana unachowahi?
Nyie mwambieni dereva muendelee na SafariKwanini kusiwe na barabara za Dharura ili katika hali kama hii zitumike ili kila mmoja awahi ratiba zake?