Asante Kenya kwa kunusuru Yesu mwafrika na Yesu mzungu wasitwangane makonde kwenye ardhi ya Kenya

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,907
Kenya kuna yesu wao mwafrika ambaye yuko siku nyingi tu ambaye ni huyu hapa


sasa ikatokea kuna yesu mwingine mzungu akaingia kenya ambaye ni huyu



Sasa yesu mwafrika akajipanga kwenda kumpa kipigo yesu mzungu,Serikali ya kenya ikabidi imfukuze yesu mzungu ili kulinda amani kenya sababu hao wa yesu wawili wangetwangana ingekuwa hatari kwa nchi na kwa dunia Asanteni wakenya
 
Huyo yesu mwafrika angekua bongo angekamatwa kwa kuwa kuna dini ya serikali,rejea nabii tito kwa nini alikamatwa.
2,evidence 2.wakati membe akiwa waziri wa mambo ya nje alisema bungeni kuwa serikali imejiridhisha hakuna tatizo bongo kujiunga na oic,alivyoitwa na mwanya kule kurasini akabadili gia angani na kusema serikali haitaki sikia hicho kitu,
wabishi watoe povu hapa.
 
Duniani kuna mambo maandiko yanatimia sasa
mathayo 24:4_5.
Yesu akajibu, akawaambia, Angalieni, mtu asiwadanganye.
5 Kwa sababu wengi watakuja kwa jina langu, wakisema, Mimi ni Kristo; nao watadanganya wengi.
 
Back
Top Bottom