Dereva wa gari lilopata ajali Morogoro

Dereva wa gari lilopata ajali Morogoro

adjuti junior

Member
Joined
Jun 11, 2016
Posts
10
Reaction score
3
Dereva Wa Gari La Mafuta lilolipuka asimulia kila kitu ajari ilivyoyokea na mpka kunusulikaa. aeleze alivyokatika miguu
 
Daah huyo jamaa ana upendo wa mshumaa aiseh
Yeye alienda kuangaza kumbe yeye ndio akateketea
 
Dereva Wa Gari La Mafuta lilolipuka asimulia kila kitu ajari ilivyoyokea na mpka kunusulikaa. aeleze alivyokatika miguu
Ni muhimu kufanya investigative jourinalism kabla ya kuandika. Dreva wa lori pamoja na abiria wake wa kike wanasemekana waliymua miggu na mikono na walibanwa na mikanda ya kiti. Habari za awali zinasema hadi lori linalipuka moto walikuwa hawajanasuliwa. Sasa huyu dreva aliyekatika miguu halafu anaongea mfululizo kama chiriku umemtoa wapi. Hivi unaelewa maana ya mtu kukatika miguu? Kweli kipau mbele kiwe ni ....elimu.....elimu....elimu.
 
Tatizo anasema hamjui alikuwa ni abiria
Aliungulia hapo hapo kwenye moto
Wakiamuwa watamjuwa tu huyo. Maiti ikisha kuwa identified wapendwa watakuja na picha. Atamtambua. I shed tears for the poor soull!
 
Kumbe Moto wa mama ntilie ndo chanzo[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Duuh nkajua teja bhana kuiba betri
 
Ntavumilia mengi ila sio upotoshaji wa wazi
Hivi umesikiliza clip hiyo
 
Sio dereva huyo mkuu huyo ni shuhuda tu, dereva raia hawakuhangaika nae wali dili na mwarabu tu. Dereva atakaua alikata kamba na wenzake
 
Back
Top Bottom