Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ninaomba kuwasilisha kero kuhusu ucheleweshaji wa utoaji wa barua za uhamisho kwa baadhi ya watumishi katika Halmashauri ya Wilaya ya Rombo. Inadaiwa kuwa baadhi ya barua za uhamisho zimekuwa...
0 Reactions
1 Replies
113 Views
Baada ya kugundua na kujitambua nikaelewa kuwa nilikuwa napoteza muda kuilaumu serikali. Takribani miaka 11 Sasa tangu nilipohitimu elimu yangu ya chuo kikuuu sijabahatika kupata ajira rasmi...
15 Reactions
107 Replies
2K Views
Vyuo ndio vinafungwa na ninategemea ugeni wa mhitimu, Nakumbuka kipindi nahitimu miaka ya nyuma nilishawai kupitia msoto mkali hata hela ya vocha ya buku ilikuwa mtihani, nisingependa huyu mgeni...
5 Reactions
3 Replies
118 Views
Katika udadisi wangu wa kina na wa muda mrefu, nimebaini kitu ambacho nimekuwa nikikihisi toka niko mdogo. Zile mbinu za kutishia watu wazima nyau kwamba utaenda motoni au kwamba utaenda kunywa...
9 Reactions
77 Replies
7K Views
Habari wana jf, kujiamini; ni kitendo cha kutokua na shaka juu ya kila unachokifanya, ulichofanya na unachotaka kufanya. NA msimamo; ni ile hali ya kutoruhusu mtu au kitu kingine kuingilia mambo...
1 Reactions
3 Replies
179 Views
Kumekuwa na kero kwa muda mrefu sasa haswa sisi tunatumia njia ya goba asubuhi ila haswa usiku. Kuwa na foleni kubwa sana isiyotembea hata kwa masaa matatu na zaidi. Ombi langu kwa serikali yetu...
1 Reactions
1 Replies
114 Views
Na Mwandishi Wetu Dar es Salaam. Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB) imeendelea kutoa huduma mbalimbali kwa waandishi wa habari, wadau wa sekta ya habari na wananchi kupitia banda lake...
0 Reactions
0 Replies
58 Views
Nakumbuka enzi zile kila Ijumaa,Faculty Day bonanza,wanavyuo wote wa Dar wanasombwa na mabasi bure wanaletwa New Silent Inn Mwenge.Kiingilio buku,anaanza DJ Fast Eddy kisha kwenye mida ya tano...
17 Reactions
63 Replies
1K Views
wasauzi "wanawasihi" muslims wa huko waache mara moja kuwaficha ma-illegals, kuwapa kazi au hata kuwapangisha, duh, i know where this is going, ee Mungu tunusuru ... wawindwaji wameomba...
0 Reactions
2 Replies
128 Views
Sikuhizi kumekuwa na content nyingi za watu hasa wamarekani weusi kuhamasishana kuhamia nchi za Africa, wengi huwa wanaishi vizuri kwa vipesa wanavyofika navyo vya kuhamia mitaa mizuri kama...
1 Reactions
1 Replies
168 Views
Mtu mmoja amefariki dunia na saba wamejeruhiwa kufuatia mlipuko wa baruti uliotokea leo tarehe 01 Julai 2026 majira ya saa 12:46 asubuhi kwenye kibanda cha kahawa katika Mtaa wa Sahwa ya Juu, Kata...
6 Reactions
14 Replies
358 Views
Nikama uwezi kuelewa yupi IGP,RPC,OCD,Mwanajeshi,polisi,RC,DC, Mwaipopo, mwenyekiti wa kikundi cha bra bra mpaka raisi na waziri wake. kila mtu anakuja itelenjesia zake na uthibitisho wake. Huyu...
0 Reactions
1 Replies
87 Views
My Take Bora nibakie nyumbani Tanzania kubeba zege kuliko kusafisha Mavi ya wazee na Watoto wa Kizungu 😆😆😆👇👇 https://www.instagram.com/reel/DY4s2xCIHzu/?igsh=aWlrNjB6M2NrNjhh
4 Reactions
31 Replies
460 Views
Hasira. Kuna maana nyingi ya neno hasira na mojawapo ni Ile inayoeleza kuwa ni hali ya moyo wa mtu ulioumia au kujeruhiwa,hivyo huweza kusababisha hasira. Inakuja pale mtu anapohisi...
11 Reactions
41 Replies
472 Views
Serikali ya Tanzania ilitangaza katika hotuba ya Bajeti ya mwaka 2026/2027 kuwa imependekeza kupunguza ushuru wa forodha kwa baadhi ya magari ya umeme kutoka asilimia 25 hadi asilimia 10. Aidha...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna theory inasema " Life is a movie about a character in which the actor is not the character. The actor is invisible so you are here on earth to act in the life of an invisible character "...
3 Reactions
28 Replies
252 Views
Anonymous
Habari! Naomba kuwasilisha kero hii. Mimi pamoja na wataalamu wenzangu wa maabara tulifanya mtihani wa leseni tangu mwezi wa tatu (March) mwaka huu lakini hadi hivi sasa matokea hayajatoka hali...
0 Reactions
4 Replies
178 Views
Vijana wajinga wajinga utawakuta wanasema "tafuta hela" Hivi huu mfumo ni nani aliuanzisha na madhumuni yake ni nini? Ni kweli kwa akili zako timamu umezaliwa ili uje utafute hela ujenge sijui...
3 Reactions
6 Replies
109 Views
Uchumi wa Bluu Kunufaika na Elimu ya Ubaharia Na Mwandishi Wetu, Kigoma Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mnyaa Mbarawa, amesema Serikali itaendelea kukiunga mkono Chuo cha Bahari Dar es Salaam...
1 Reactions
1 Replies
110 Views
Back
Top Bottom