mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 4,287
- 9,162
Vijana wajinga wajinga utawakuta wanasema "tafuta hela"
Hivi huu mfumo ni nani aliuanzisha na madhumuni yake ni nini?
Ni kweli kwa akili zako timamu umezaliwa ili uje utafute hela ujenge sijui ununue kagar then uzeeke ufee
Asubuh kazini wiki miez miaka umezeeka
Na wewe unapita mbele ya watoto zako na kusema nimepambana kuwajengea maisha mazuri, na watoto wanangoja ufe siku ya pili mali zinauzwa, kuna maana gani sasa?
Eti maendeleo! Unafanya maendeleo gani kama si upungufu wa akili, wewe na kichaa nani mwenye kichaa
Kengine utakakuta kanajitutumua kanakopa na kukopa kananunua gari, na kamapita mitaani kanaona kametoboa kimaisha kanaona wenzake wapumbavu
Kabisa gari ni kakitu ka kujivunia binadamu
asee huyo aliebuni huu mfumo kawaweza sana
Wewe binadam hivi ushawahi kukaa kuusumbua ubongo wako japo kwa dakika moja
Kujiuliza kwanini?na kwa faida ipi?
Kama hujanielewa pole sana
NB: binadam msio na kitu msipanic hakuna cha maana huko ni upumbavu mtupu maisha ni haya haya relax