Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wauguzi wa Chumba cha Upasuaji kutoka Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) wameendelea kupatiwa mafunzo ya kuwakumbusha misingi na kanuni za matumizi sahihi ya vipandikizi...
3 Reactions
2 Replies
138 Views
Wahitimu wengi sana tunawaona bila ajira maarifa yao hayawezi kuwafungulia maisha katika njia za kipekee za kujitofautisha na wnye elimu ndogo, Wengi wakosa ajira wanarudi kwenye biashara basic...
1 Reactions
12 Replies
182 Views
Kuna mtumishi mmoja wa Mungu ambaye yeye na mume wake walikuwa maarufu sana kufundisha mahusiano kabla na baada ya ndoa kwa waliooana. Baadaye ndoa ya watumishi hawa ikapata changamoto na mke...
5 Reactions
14 Replies
273 Views
Hivi kama aridhi ilipimwa kwa upimwaji shirikishi, then mtu akanunua kufuatilia kiwanja ulichonunua kimeingiliana na kiwanja cha mwingine(vyote vilipimwa kwa shirikishi) Swali: inawezekana...
0 Reactions
1 Replies
65 Views
Mwanafunzi wa fani ya Uhandisi Vifaa Tiba (Biomedical Engineering) ameeleza malalamiko yake kuhusu utaratibu unaowataka wanafunzi kulipia kiasi kikubwa cha fedha ili kupata nafasi ya mafunzo ya...
1 Reactions
5 Replies
406 Views
Mungu ni mwema. Twende China tulete vyombo vya nyumbani na mapazia. Mchongo mzuri FACT: SIMPLE:- UKITAKA KUJUA MCHONGO GANI ,PATA MAJINA YA YA WAMILIKI Video
0 Reactions
0 Replies
105 Views
Katika mfumo wa ORS ulikuwa ukifanya application unapata notifications za status ya maombi yako. Mfano kama kuna mabadiliko au marekebisho mfumo una ku notify. Baada ya kuhamia BOS haiko hivyo...
0 Reactions
0 Replies
79 Views
Katika kundi ambalo linafanywa manupulate ni watu wenye roho nzuri na wema. Pale ukishagundua kuwa wema wako au roho nzuri inaanza kukuumiza na wenyewe washakuwahi. Mfano leo watu wameuliwa na...
0 Reactions
2 Replies
78 Views
1. Nguvu Yako ya asili kuchukuliwa. 2. Kupewa nguvu ya asili tofauti. Unaposhiriki zinaa Kuna "reaction" hutokea ambapo mtu hufa ghafra na kuzaliwa upya tofauti na yule wa awali. (Utu to unyama)...
7 Reactions
27 Replies
519 Views
Huyu jamaa kama angekuwa kitengo cha uchawa front tunge koma. kwa sasa kama kajitenga.
2 Reactions
2 Replies
116 Views
Mnasemaje kuhusu hili linazua mjadala mtandaoni.....Dada anasema mwanamke hajazaliwa kwa ajili ya kuolewa na kumtumikia mwanaume tu, na ndio maana anasomeshwa na Wazazi wake kwa maana anapaswa...
11 Reactions
265 Replies
3K Views
Kila unapopita unaona watoto wa mitaaani wamejaa kila kona. Kila unapopita unakutana na mdada aliezalia nyumbani na jamaa yake hawaelewani. Kila unapopita unakuta baba akifa na biashara ndio...
3 Reactions
4 Replies
86 Views
Aisee imekaaje hii, mbona Kila kitu kimekua hovyo. Vilio Kila Kona imekaaje hii?
0 Reactions
0 Replies
64 Views
Maisha yana enda Kasi sana vitisho vya kuchapiwa vinaongezeka, mateso ya mademu zetu yanatuchanganya, ukija Kwa kaka zetu wanadai tafuta pesa wewe, ukiwaangalia wao suruali zimeisha Hadi kwenye...
1 Reactions
7 Replies
143 Views
  • Redirect
Zoom na ujisomee mwenyewe, daa nchi yenu hii?
1 Reactions
– Replies
– Views
Mwenyekiti wa Taifa Group na mfanyabiashara mashuhuri, Bw. Rostam Azizi, ametunukiwa Tuzo ya Juu ya Heshima ya Chemba ya Taifa ya Biashara Tanzania (TNCC) kwa kutambua mchango wake katika kukuza...
0 Reactions
0 Replies
55 Views
Jana niliweka taarifa ya kupotea kwa mtoto Richard Riziki Kiko (15) mwanafunzi wa kidato cha pili, shule ya sekondari Mbwawa Lutheran iliyopo Kibaha. Richard alipotea juzi jumapili, akiwa anarudi...
4 Reactions
33 Replies
533 Views
Mkufunzi wa sensa akutwa amefariki dunia nyumba ya kulala wageni. Taarifa: MWANANCHI Online Kwa niwajuavyo Wakufunzi na yanayoendelea kwa hao Wanaowakufunzi ( hasa Mabinti na Wanawake )...
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Back
Top Bottom