Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,389
- 17,644
wasauzi "wanawasihi" muslims wa huko waache mara moja kuwaficha ma-illegals, kuwapa kazi au hata kuwapangisha, duh, i know where this is going, ee Mungu tunusuru ...
wawindwaji wameomba hifadhi wizara ya mambo ya ndani
fikiria kundi kama hilo linakuvamia, matatizo ya kisaikolojia utakayoyapata unaweza usipate ahueni tena baada ya hapo ...