Albert Chalamila, leo Julai 2, 2026, amezungumza na waandishi wa habari na kutangaza kuwa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa imeandaa kampeni maalum ya upimaji wa afya na utoaji wa matibabu bure kwa wananchi...
Huduma za kibingwa na kibobezi za Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) zimeendelea kuvutia wananchi katika Maonesho ya 50 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba)...
Hebu tufikirie kwa mfano tu dunia ambayo hakuna kuugua wala kufa kwa magonjwa wala uzee. Kila mtu siku moja atakufa kwa ajali tu, ila hajui ni lini na wapi na kwa ajali gani ajali ya ndege ,gari...
Kuna kitu kinaitwa Closed Circuit Coup. Ama CCC. Mambo ni mengi muda mchache.
Teknolojia ya upashanaji Habari, mawasiliano, majadiliano na hata malumbano ya hoja sasa vinaweza kufanyika kwa...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Baraza la maaskofu limenusa hatari ya genzi
Kitima abadilisha tarehe arudisha nyuma
Asante sana
SAYUNI BOY
Papa Leo XIV amewandoa kundini na kuwanyang'anya Sacramenti zote Wakatoliki wa SSPX wenye makao makuu Switzerland baada ya kuwasimika Maaskofu wanne wapya wa order yao kinyume na katazo la papa...
Mtandao wa huu kuna member wengi mno cha kushangaza!!==*asilimia kubwa ya member humu wanatumia majina feki kwenye ID zao na"" picha feki kwenye avatar zao je? ni kitu gani kimekufanya utumie id...
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama, Hajjat Asia Juma Messos
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: MWAKA MMOJA WA MAFANIKIO YA SERIKALI WILAYANI MKALAMA (2025/26)
Ndugu waandishi wa...
Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Kambarage, Manispaa ya Shinyanga. Ninaomba kufikisha kilio chetu kuhusu hali mbaya ya usafi ambayo imekuwa ikitusumbua kwa muda sasa kutokana na mrundikano wa taka...
Great news from East Africa.
The United States and Tanzania have entered into a $3.15 billion, five-year bilateral Health Cooperation MoU under President Trump’s America First Global Health Strategy.
▪️ Waziri Mavunde akutana na mwekezaji wa kiwanda cha kuzalisha goroli za chuma
▪️ Kiwanda hicho kinatarajiwa kujengwa Buzwagi Special Economic Zone, Kahama
▪️ Oriental Casting and Forging Ltd...
Zifuatazo ni nchi za Afrika zenye madeni makubwa zaidi ya IMF mwaka huu .
1.Misri 7,245,182,524
2.Cote D'Ivoire. 3, 603,438 ,776
3.Kenya. 2, 873,418, 234
4.Ghana 2,728,468,500
5.Angola...
Mfundishe mwanao majukumu yale ambayo yatakuwa faida kwenye maisha yenu na yake ya baadaye kwasababu huyo ni mume au mke wa mtu wa baadaye pia ni mwanafamilia wako
Mama/baba mfundishe kijana wako...
Kama kichwa Cha habari kisemavyo kwa upande wangu ni kama Ile faida ya mtoto ku belong to father's family sioni faida yake kwa sababu mamlaka yote ya mtoto ni kama kapewa mama wa mtoto na ndio...
Habari njema kwa wajasiriamali na wafanyabiashara! 🎉
Sasa kupitia SmartBusiness, unaweza kuomba mkopo wa biashara kwa urahisi, moja kwa moja ndani ya app. Hakuna safari ndefu wala mchakato mgumu...
Kama unataka kujua kamari inachezwa na watu wanastake mamilioni ya dola ,siku moja nenda pale Las Vegas. Kama wewe ni mkamaria tembelea Nevada hapo ukaone pesa inavyoteketezwa.. kama una...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.