Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Mzee mmoja alinipa simu yake ili nimsaidie kuset kitu fulani. Nikakuta app ya JF kwenye simu yake 😯. Shetani aliniingia nikajisema, ngoja nijionee ID yake. Nilizama kwenye jukwaa nikaji-tag...
51 Reactions
162 Replies
3K Views
Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba amesema hatua za kudhibiti mikusanyiko mikubwa zimechukuliwa baada ya taarifa za kiintelijensia kuonesha uwepo wa watu wenye nia mbaya ya kutumia mikutano hiyo...
1 Reactions
23 Replies
341 Views
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imetekeleza zoezi la ufungaji wa pampu mpya katika kituo cha kusukuma maji (Booster pump) kilichopo Segerea kwa lengo la kuboresha...
1 Reactions
3 Replies
131 Views
Rais wa Uganda, , amesema bara la Afrika lina watu wengi waliopata utajiri mkubwa kwa njia za dhuluma badala ya kufanya kazi halali, akisisitiza kuwa vitendo hivyo haviwezi kuwa msingi wa...
0 Reactions
0 Replies
91 Views
Kibosile wa Mamlaka ya Mbegu " akikagaua" mbegu huko Arusha. Jamani tuwe serious na kazi. Mtu anakagua kavaa suti ya ofisini Viatu si vya kwendea shambani Tai juu Mkononi simu Kwa watu tulio...
3 Reactions
4 Replies
154 Views
IKONDA HOSPITAL VS HOSPITAL YA RUFAA (ZONAL) MBEYA Habari ya wakati huu watubwa Mungu!! Ni tumaini langu mko poa sana. Naleta uzii huu kuuliza juu ya nini kinafanya hospitali hizi zinazopatika...
2 Reactions
16 Replies
345 Views
Licha ya mgomo na Hujuma za wafanyabiashara waliochochewa Kisiasa ila TRA imeandika rekodi ya Kukusanya Shilingi Trilioni 7.3 robo ya mwisho wa mwaka (April-June) na pia imefanikiwa kukusanya...
4 Reactions
59 Replies
3K Views
Kama niliweza kutoka 29 na 30 oktoba na kuandamana nakushuhudia wenzangu wakifa na wengine wakijeruhiwa vibaya na risasi maeneo ya urafiki na shekilango,hasia yangu iliongezeka mara dufu. Mbali...
23 Reactions
74 Replies
1K Views
Dereva wa Basi la ABC, Watson Mfugale akizungumza, Julai 1, 2026 wakati wa uzinduzi wa Kampeni ya Wiki ya Kuhamasisha Afya ya Akili kwa Madereva, hatua inalenga kupunguza ajali zinazochangiwa na...
1 Reactions
5 Replies
213 Views
Hili jina lina utukufu fulani hivi na vyote vinavyotajwa na jina hili ni vitu muhimu kabisa na vina impact kubwa. Haya twende kazi" Tanganyika Law Society (hawa watu mziki wao mnaujua)...
1 Reactions
4 Replies
78 Views
Moja ya mikakati ya kuhakikisha huduma ya majisafi inaendelea kuwa bora na uhakika kwa wananchi, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar Es Salaam (DAWASA) inaendelea na utekelezaji wa...
0 Reactions
0 Replies
73 Views
Kuna muda najiuliza kuwa hii App mliiweka ya kazi ipi hasa Tangu asubuhi Mtu wa miamala anashindwa kuhudumia wateja kwa kutumia Simbanking kisa huduma haipatikani Mara hii nimejaribu kununua...
3 Reactions
8 Replies
223 Views
Hii nchi bwana mitandao ya sim kwa sasa kila mtu anauza router wanaita unlimited router lina kilo 3 ukinunua hiyo ndio wanaanza kukuuzia bando kuanzia 70000 kwa mwezi unlimited Sasa nikawauliza...
18 Reactions
40 Replies
868 Views
Ninaomba kuwasilisha kero kuhusu ucheleweshaji wa utoaji wa barua za uhamisho kwa baadhi ya watumishi katika Halmashauri ya Wilaya ya Rombo. Inadaiwa kuwa baadhi ya barua za uhamisho zimekuwa...
0 Reactions
1 Replies
113 Views
Back
Top Bottom