Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju, akifungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Madalali wa Mahakama Juni 30, 2026, amewataka majaji na watendaji wa sekta ya sheria kuhakikisha wanakuwa na uwezo wa...
0 Reactions
1 Replies
194 Views
Kuna mambo yanafanyika kwa Siri kwa baadhi ya familia na outcome yake inaonekana within a short period of time.
2 Reactions
11 Replies
193 Views
Vita za Iran na Ukraine zilikuwa ni vita zilizokuwa hazina ulazima na zilizokuwa zinaepukika lakini kiburi na kujiona una nguvu kubwa ndio vimeiinginza Dunia katika hasara kubwa ya kiuchumi, vifo...
1 Reactions
4 Replies
143 Views
Mohamed Said haijalishi utaandika vitabu vingapi, haijalishi utafanya interviews ngapi, haijalishi utashingiliwa na wangapi ila tambua wewe ni mtu ambae upeo wako unaishia kuzunguka katika dini...
21 Reactions
36 Replies
897 Views
Mtandao wa X umefafanua upya maana ya alama yake ya bluu (Blue Checkmark), ambapo mtandao huo umedokeza kuwa kuanzia sasa (Verification Mark) alama ya bluu haimaanishi tena kuwa akaunti...
1 Reactions
0 Replies
91 Views
Iko hivi, kuna mchungaji mmoja ambaye pengine ni mke wa mtu ameelezea vizuri kabisa kwamba hajasoma degree nne ili aje kufua boksa chafu za mume wake. Kimsingi, yuko sahihi, kila mtu ashikamane...
3 Reactions
22 Replies
293 Views
Kwa miaka ya sasa hivi million 10 sioni kama ni mtaji tosha katika biashara, hasa hizi biashara za kukaa kusubiri wateja, kwasababu frame za biashara (mahali palipochangamka) ni kama zimeisha na...
7 Reactions
28 Replies
593 Views
Habari ,naomba kufichua uovu kuhusu Bar inayoitwa G Seven iliyopo mkoani Mwanza sehemu inaitwa Darajani Kata ya mkolani , Bar hiyo imekuwa ikipiga muziki usiku kucha Kwa sauti ya juu Jambo...
0 Reactions
0 Replies
102 Views
Hivi humu jukwaani unaweza kua content creators na ukalipwa iwe kwa uandishi au hata kupost vichekesho n.k hasa uandishi mana JF wengi ni waandish je? kuna kipengere cha kulipwa? KARIBUNI
7 Reactions
40 Replies
600 Views
Yawezekana kabisa mtu akajikuta katika mazingira magumu na yakamsababishia maumivu, na maumivu hayo yakapelekea akaharibu zaidi. Mtumishi wa Mungu huyu anaongea mambo kuhusu maisha ya ndoa...
4 Reactions
5 Replies
168 Views
Huyu ni mtu aliyetuanzishia forum hii na kufanya vema kama ilivyokuwa wikileaks ya majuu, hii tunaitambua JF kama Swahili Wikileaks, Kwa haraka haraka huwezi ona umuhimu wake mpaka pale...
39 Reactions
82 Replies
12K Views
Asalamu Alaikum ndugu, Naomba muongozo kutoka kwa wahusika, hasa Kikosi cha Jeshi la Polisi Kitengo cha Barabarani na viongozi wengine. Hapa mjini (Kata ya Sahara, Wilaya ya Nyamagana jijini...
0 Reactions
2 Replies
253 Views
Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Jatu PLC, Peter Gasaya (33), anayekabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye mashitaka mawili likiwamo la kujipatia Sh5.1 bilioni kwa njia ya udanganyifu, amefikisha...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
NAUZA AKILI Nilipogundua wanaosali Sana ndio wanaoongoza kwa masengenyo na negativity, niliamua kua karibu na mimea kuliko waabudu hadithi za Oxford university, maarufu kama neno la mungu...
0 Reactions
0 Replies
92 Views
1. VIBURI Wamejaa Dharau Na Ujuaji kwenye kila kitu Hawataki kuelekezwa wala kurekebishwa 2. UVIVU Hawapendi Kazi Wana Excuse Nyingi kila Siku kwenye kila kitu 3. TAMAA Hawapendi Process...
1 Reactions
1 Replies
70 Views
Hua napenda kuona picha na video zenye ubora sasa sijui nani anaetoa ubora huo je, ni TV yangu nitakayonunua,mtoa huduma wa izo picha mf channel zenyewe au ubora wa vinasa picha na video?
0 Reactions
1 Replies
110 Views
12 Reactions
130 Replies
2K Views
Wahusika wa huduma ya ttcl faiba hamtendi haki. Toka Jumapili Asubuhi hakuna huduma maeneo ya Chang'ombe maduka mawili. Inafikirisha sana. Labda mnataka wateja wahamie kwa kampuni zingine. Hili...
0 Reactions
0 Replies
82 Views
Na Mwandishi Wetu. Dar es Salaam. Kampuni ya Puma Energy Tanzania imekabidhi Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania gawio la kihistoria la shilingi bilioni 15, ikiwa ni gawio kubwa zaidi...
0 Reactions
0 Replies
104 Views
Jana majira ya saa mbili usiku dereva wa mbunge Mh. John Heche anayejulikana kwa jina la SUEZ DANIEL MARADUFU alivamiwa na watu wasiojulikana na kushambuliwa kwa kukatwa katwa na mapanga kichwani...
8 Reactions
101 Replies
14K Views
Back
Top Bottom