Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Binadamu tunajiona viumbe waliobarikiwa kwa akili na maarifa. Tumegundua teknolojia, tumeandika vitabu, tumejenga miji mikubwa, na tumeunda tamaduni nyingi. Lakini tukichunguza kwa undani, yote...
5 Reactions
10 Replies
216 Views
Wana-JF salamu, Nimekuwa nikitafakari kuhusu diplomasia yetu ya kimataifa na nguvu ya pasipoti yetu. Swali langu kuu ni: Je, nchi mbili zinaweza kukubaliana kufuta kabisa masharti ya Visa...
0 Reactions
0 Replies
95 Views
JE NI LAZIMA KUMSAMEHE MZAZI ALIYEKUTELEKEZA? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Jibu la moja kwa moja kwa wale wasiopenda Maelezo marefu. Jibu sio Lazima Kumsamehe mzazi au mtu yeyote...
2 Reactions
6 Replies
118 Views
Adv. Taslima Kaijage +255 715 / 784 / 774 - 161820 1. Ukinunua ardhi(nyumba,kiwanja,shamba)hakikisha unafannya transfer(kuhamisha umiliki kutoka aliyekuuzia kwenda jina lako Mnunuzi) mara moja...
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Amani iwe nanyi wapendwa.......Back in days mimi ni under 30 leo nitatoa ushuhuda kidogo kuhusu huyu Yesu kristu aketiye mahali pa juu sana mbinguni 1. Niliitwa nikiwa chini kabisa · Zaburi 40:2...
7 Reactions
38 Replies
462 Views
Kama mnavyojua Anko amepewa talaka 3 na tayari washatengana na Mama. Nataarifiwa anakusudia kupeleka shauri mahakaman ili kupata hako ya mali walizochuma na mtalaka wake.
1 Reactions
4 Replies
201 Views
Nisile kuku, nyama choma, chips eti nitanenepa, mbona tembo nyati na swala, nyani wanakula majani na bado wananenepa? Wataalamu tusizoeane na tusifatiliaene🤣🫵
2 Reactions
21 Replies
313 Views
Watoto wa Dar wanajuana amini usiamini. Huwezi jua hayo kama sio mzawa wa Dar. Kaazi kweli kweli
3 Reactions
20 Replies
341 Views
Huyu JAMAA MPWAYUNGU VILLAGE yuko wapi?Au alikumbana na misukosuko ya 29/10/2025.Nimekumbuka nondo zake zilizowahusu walimu
6 Reactions
13 Replies
487 Views
Acha uoga na ufungue akili yako.Kuzaliwa na kufa ni biashara ileile moja. Watu wengi mnaishi kama watumwa wa uoga. Mnaogopa kuzikwa ardhini wakati mmesahau kuwa mmetoka kwenye giza nene kule...
10 Reactions
108 Replies
869 Views
Nafikiri nafaa kuuliza swali labda mimi ndiyo sielewi, neno mazungumzo na waandishi wa habari ambalo watu wangu maarufu hapa tanzania wanalitumia kujibu hoja, kutoa malalamiko juu ya swala flani...
0 Reactions
0 Replies
61 Views
Nimepita mitandaoni huko nikaona hii Cable ya umeme , nikakumbuka miaka ya 2000. Kuna siku nilitoa hii Cable kwa nje nikachomeka mashine ya kunyolea. Sasa wakati nasubiri katokea mtoto wa jirani...
15 Reactions
82 Replies
1K Views
Nimejaribu kupitia na kuangalia maslahi ya walimu kwenye nchi za wenzetu(botswana, South Africa, Rwanda, Qatar n.k) nikagundua walimu wanalipwa vizuri mno kuliko wanavyolipwa kwetu Nikaangalia...
5 Reactions
34 Replies
441 Views
Ukitaka kufahamu uhakika wa kichwa cha habari nilichoandika tafakari juu ya mtu anapokufa waliobaki huwa wanafanya nini? (Jiulize tu kwa dhati ya moyo wako na ujijibu). Jibu la swali hilo ndiyo...
0 Reactions
0 Replies
96 Views
Katika dunia ya leo, tunashuhudia wimbi kubwa la watu wanaojiita wasemaji wa maisha ya binadamu wenzao. Wengi wao wamekuwa wakitoa maneno mazuri ya kutia moyo, lakini mara nyingi maneno hayo...
0 Reactions
1 Replies
100 Views
Wandugu zingatieni sana hili hasa ukiwa pekeyako Ni uamuzi wa busara sana kutozima simu yako unapoenda kulala, kwani hatua hii ndogo inaweza kuwa tofauti kati ya usalama na janga kubwa. Nyakati...
16 Reactions
52 Replies
708 Views
Facts is:- Kunapotokea suala la starehe ya muziki,basi tufanye muziki, ------ Kunapotokea suala la michezo,basi tufanye michezo, ------ Kunapotokea suala la siasa au muda wa siasa tufanye siasa..
2 Reactions
7 Replies
103 Views
Nyumba 4 kwenye compound moja huko Dodoma Mali ya mwendazake MC Pilipili zimetia fora kwa nakshi na mazingira zilipo (Swaswa). Kazi na utu
8 Reactions
18 Replies
2K Views
sisi wenye ID's ambazo hazina muda mrefu kuanzishwa sio kwamba tulikuwa na ID's za awali na wala sio kwamba ni wageni hummu jamvini. kumekuwa na nyuzi kadhaa za unyanyapaa kuhusiana na ID's...
3 Reactions
13 Replies
149 Views
Hey guys, Kuna jambo nimekuwa nikijiuliza kuhusu utafutaji wa kazi na fursa mbalimbali kati ya mwanaume na mwanamke. Mara nyingi naona kuna tofauti kubwa sana. Mwanaume anaweza kwenda kutafuta...
21 Reactions
385 Replies
3K Views
Back
Top Bottom