and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,226
- 39,713
Kama mnavyojua Anko amepewa talaka 3 na tayari washatengana na Mama. Nataarifiwa anakusudia kupeleka shauri mahakaman ili kupata hako ya mali walizochuma na mtalaka wake.
Free Tundu LissuKama mnavyojua Anko amepewa talaka 3 na tayari washatengana na Mama. Nataarifiwa anakusudia kupeleka shauri mahakaman ili kupata hako ya mali walizochuma na mtalaka wake.
DuuhAnko shamte nenda zako acha mambo ya aibu!..
""Ulukuwa hujui hata kununua chumvi au sabuni ya kuoga"ulikuwa unakula tu kama funza""unadai nini sasa?