Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

  • Redirect
Nimeona huyo mtangazaji wa Clouds anaongelea mambo ya kisiasa ila Nina mashaka na taaluma yake na uwezo wake wa kuongelea national issues
0 Reactions
– Replies
– Views
  • Redirect
Aliyekuwa mtawala wa Qatar Emir Hamad bin Khalifa Al Thani, amefariki jana akiwa na miaka 74. Mtawala huyo aliyeingia madarakani kwa kumpindua baba yake na kutawala hadi 2013 na kumuachia kijana...
0 Reactions
– Replies
– Views
Je, fisi anaona usiku? Kama anaona anajuaje kama binadamu haoni usiku? Nani anamwambia? Nasema hivi kwa sababu kule Shinyanga ukipita mida ya usiku unakuta fisi kajibanza tu sehemu kwa kuamini...
15 Reactions
126 Replies
2K Views
Salaam. Mchina alifika kwenye kijiji akatangaza kununua paka ili awasafirishe kwenda kuuza nje ya nchi. Wanakijiji wakamletea paka na kumuuzia kwa Tsh1000, wengine wakapuuza kwa kuona elf moja ni...
1 Reactions
2 Replies
112 Views
Kwa mfano mtu anadaiwa Shs. 60/= , akiwa analipa hilo deni kwa wastani wa shs. 15/= kwa mwaka , tunategemea baada ya miaka mitatu deni libaki Shs.15/=. Au kama anakopa tena kila mwaka sawa sawa...
2 Reactions
52 Replies
2K Views
Kiwanda cha kuzalisha nondo cha Hanging Steel Factory Tanzania Limited kilichopo Kisenvule, Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, kimefungwa kwa muda baada ya Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais...
2 Reactions
12 Replies
288 Views
Tarehe 14 ya Mwezi Julai mwaka huu wa 2026, Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA) inatimiza miaka 50 tangu kuanza rasmi kufanya shughuli zake za kibiashara mwaka 1976. Wahenga wanasema kila kwenye...
1 Reactions
1 Replies
98 Views
Wakuu hii ishu inauma sana. Hawa jamaa wanaposimamisha kila daladala ni kwa ajili ya kula 2000 Atakapokuja Rais mwingine atapata shida sana kuirejesha nchi mahala pake
1 Reactions
2 Replies
132 Views
Nsikuchoshe na Usinchoshe,Tusichoshane! Viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mtakaopitia huu Ujumbe,Tafadhali sana naomba mumfikishie Mh.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha...
8 Reactions
19 Replies
358 Views
Kwa jinsi tulivyo sitashangaa Mali yetu ila tukawa bado wafagizi Tu hapo Esther Luxury huku Wachaga wakila mema ya brother
0 Reactions
8 Replies
419 Views
UKIMWI upo na unaua take care play SaFe Hakuna tuzo ya ngono zembe Zaid ya ballistic missile za kutisha Gono,Umeme,homa ya ini..nk CC min -me
37 Reactions
267 Replies
5K Views
Habari kila mmoja humu jukwaani. Maisha ni kutofautiana, na kutofautiana ndiyo maisha yenyewe. Mimi binafsi niliwahi kwenda US kwa shughuli mahususi za kimasomo, wakati huo nikiwa kijana mdogo...
8 Reactions
50 Replies
823 Views
Mama wa watu amefanya kila mbinu kutuliza hali ya hasira Kwa watu lakini imeshindikana 1.Kombo amezurula kote Duniani ila wazungu hawamwelewi 2. Kujaribu kuteka, kuuwa na kubambikia watu kesi...
16 Reactions
54 Replies
798 Views
Naomba mnieleweshe, kwasababu naona kabakiza miaka minne amalize muda wake, mwaka wake wa kwanza umekaribia kuisha hajaenda ziara yoyote nothing new, licha ya kelele zote za watu miaka inazidi...
8 Reactions
42 Replies
558 Views
Naona Kuna taasisi nyingi zimeweka mabanda hapa chilangali kuhitimisha wiki/kilele cha Utumishi wa umma jambo ambalo halina manufaa kwa Taifa,ni afadhali kungekuwa na tamasha la tamaduni kuliko...
5 Reactions
11 Replies
277 Views
Back
Top Bottom