Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wazee mida ya jioni (Jana), nilikua napita kwa mguu pale kijazi interchange aise vurugu za bodaboda sio mchezo. Yaani waendeshaji na abiria ni kama wamenunua tiketi ya kifo! Hakuna rules yaani...
6 Reactions
14 Replies
312 Views
Hello, ladies and gentlemen wa jamii forum , Kama uzi unavojielezea hapo juu . Nina live example . Mimi ni mwanafunzi wa sheria, Jumatatu nilipeleka barua ya field katika mahakama ya wilaya X...
8 Reactions
64 Replies
3K Views
Wasalaam waleikhum ndugu zangu waislam na wakristo.... Ni kawaida kwa waumini wa kislamu kukuta hawatumii pombe kwa kuwa imekatazwa kwenye maandiko. Ila sigara kwao ni kama chanda na pete...
7 Reactions
98 Replies
1K Views
Nimesikitika pale raisi unaposema wanaokosoa kuwa ni magaidi ni kwamba hata huu utekaji ni maagizo yako kwa wanaokukosoa. Hapa neno gaidi sasa limeshakuwa wakosowaji na wanaharaki lolote la...
0 Reactions
1 Replies
55 Views
Kuna nyumba unakuta watoto watatu wote wa kike wamezaliwa nyumbani, unaweza kujiuliza maswali kwanini haya yatokee ila kiukweli mama mtu amekuwa akipokea pesa za vocha kama zote sasa anashindwa...
3 Reactions
4 Replies
109 Views
Ndugu zangu kwa masikitiko makubwa jana mabeberu wamewalipa watu wote walioingia kwenye hafla ya miaka 30 ya bongo fleva ili wamzomee, kumbagaza na kumbananga mwana FA. Inauma sana. Mimi kama...
22 Reactions
47 Replies
814 Views
Kuhojiana ndiyo tamaduni uliyo ya kistaarabu sana hasa ndani ya vyama vyetu,au vyombo vyetu vya umoja au umma,hasa pale panapokuwa na mashaka fulani fulani, kuhojiana ndani ya vikao vya chama...
0 Reactions
2 Replies
67 Views
Au nayo wameshaibaka kama media? Mtu unapiga simu haiiti ukikata unaambiwa umetumia sekunde kadhaa, kwenye internet ndio hovyo kabisa.
0 Reactions
0 Replies
52 Views
Kuna kipindi cha jamaa mmoja anaitwa sam chui mambo ya ndege. Alikwenda sudani kusini kuangalia huduma za safari za ndege na mashirika ya misaada. Kitu nilichoshtuka kuona nembo ya tanzania ya...
1 Reactions
1 Replies
90 Views
Anonymous
Naomba kuuliza swali, Hivi haya magari (basi) ya Taasisi na Serikali yanayowasha taa na ving'ora ili kufanya Wananchi na Watumiaji Barabara, kuwapisha nyakati zote tena hasa wakati wa foleni -...
1 Reactions
3 Replies
176 Views
Hakuna kazi ngumu kama kupata Control number ofisi ya RTO MWANZA, pengine kuliko huduma nyingine zitolewazo na ofisi nyingine za umma pale mkoani Mwanza. Je, hakuna suala la rushwa ndani yake...
1 Reactions
4 Replies
269 Views
Japo umri na mimi umeelekea ila bado kuna mambo mengi sanaa ya nyumbani ina changamoto sana kwa upande wa stejini. Katika makundi ambayo stejini wameshindwa ni hawa bongo flava kabisa. Live...
1 Reactions
2 Replies
87 Views
Wananchi na watumiaji wa vyombo vya moto wamehimizwa kuwa makini wanapoyapita magari hayo ili kuepuka kuyagonga. Pia wametakiwa kutolisogelea gari lililobeba kemikali ya sianidi (Sodium Cyanide)...
3 Reactions
9 Replies
856 Views
  • Redirect
1 Reactions
– Replies
– Views
Sisi wamatumbi wengi tunapenda sana kutatua matatizo ya leo tu , na sio ya kesho na hatma ya maisha yetu .
10 Reactions
44 Replies
430 Views
Raia mmoja wa Tanzania ametajwa miongoni mwa watuhumiwa wanne wa kigeni wanaodaiwa kupanga kusambaza silaha za kijeshi zenye thamani ya dola milioni 58 sawa na Sh145 bilioni fedha za kitanznia kwa...
15 Reactions
139 Replies
9K Views
Kufuatia Mjadala uliosambaa Mitandaoni baada ya kauli ya Mtumishi Rose Shaboka kuongelea kuhusu uwa na Elimu 'Degreee' na kuishia kuwa Mke wa kufua boxer na Kupika, basi Godbless Lema amesema...
13 Reactions
43 Replies
1K Views
Mimi ni mmoja ga watu waliokubeza baada ya talaka. Nikidhani tamaa zako zimekufanya kuachana na ndoa ya zamani na kuingia ndoa mpya na Dr. Tusamehe tulikuhukumu bila kujua upande wa pili. Kumbe...
11 Reactions
38 Replies
1K Views
Back
Top Bottom