Mazungumzo na waandishi wa habari

Mazungumzo na waandishi wa habari

Monika-55

New Member
Joined
Feb 21, 2024
Posts
1
Reaction score
0
Nafikiri nafaa kuuliza swali labda mimi ndiyo sielewi, neno mazungumzo na waandishi wa habari ambalo watu wangu maarufu hapa tanzania wanalitumia kujibu hoja, kutoa malalamiko juu ya swala flani, nini maana yake?

1. Nikuwa mtu anaita tu watu halafu anazungumza anachojisikia mbele ya vyombo vyao vya habari?

2. au inafaa kuwamazungumzo kwa maana ya unasema ulichonacho alafu waandishi wanauliiza maswali kupata details muhimu wa kile ulichosema kabla hawajakileta kwa jamii?

kwa sababu sasahivi mtu anaita tu waandishi wa habari anasemma kitu flani au mtu flanii kafanya hivi then inaletwa vilevile alivyosema .
 
Back
Top Bottom