Kuna nchi unatakiwa kuwa makini na kuanzia mazoea,msosi, vinywaji mpaka unapofikia na ili swala lipo.
Ila tanzania bado tujaweza sasa kuhusu na maswala ya biashara ya viungo kama figo maana ndio...
Mi ni mmoja wa wananchi tuliotekeleza maelekezo ya National Identification Authority (NIDA) ya kurudisha vitambulisho vya Taifa vilivyokuwa na tatizo la kufutika kwa majina au namba ili...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Julai 17, 2026 amekagua na kupokea taarifa ya maandalizi ya Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa yanayotarajiwa kufanyika Julai 25, 2026 katika Viwanja vya...
Madhara ya unywaji wa pombe:
Uharibifu wa ini (fatty liver, hepatitis, cirrhosis)
Saratani ya ini, koo, umio, matiti, na sehemu nyingine za mwili
Magonjwa ya moyo na shinikizo la damu
Uharibifu...
Mfundishe mwanao na umjengee msingi imara wa elimu kupitia Elite Home Tuition Services.
Tunatoa huduma ya home tuition na online tuition kwa wanafunzi wa level zote, kuanzia chekechea hadi chuo...
Serikali ya Wilaya ya Ileje mkoani Songwe imepokea baiskeli 279 kutoka kwa mdau wa maendeleo wa kampuni ya Buffalo Bicycles Tanzania kwa ajili ya kusaidia kuboresha utoaji wa huduma za afya ngazi...
MAMBO MUHIMU KWAKO MWANAMKE; ELIMU +KAZI KISHA FAMILIA(MUME MWENYE AKILI ZA TIBELI)
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Baada ya afya bora. Kinachofuata kwenye maisha yako kwa umuhimu na lazima...
Huyu jamaa alikuwa mnyama kabisa.
What he did was destroy a soul of a 15 yrs old young boy.
Imagine unampa mtoto mdogo Lamborghini na bado hapo hapo unakeshesha kwenye party za kishenzi aone...
Raia wa Tanzania wapinga ushoga na wabunge wao kwa nini wananyamazia Diamond kuwa karibu na vijana wanaotuhumiwa kuwa ushoga.
Nimeona clips zikisimbaa katika birthday ya mama yake vijana wawili...
Yanafanyaje kazi?
Watu wanaweka pesa/beti kwenye matokeo ya matukio ya baadaye.
Mfano:
Matokeo ya mechi za mpira
Matokeo ya uchaguzi
Idadi ya tweets Elon Musk atatoa kwa wiki
Shida ilipo sasa...
Ikiwa Imamu amegundulika ni mzinifu au mwenye tabia nyingine mbaga kama za kutishia kudhuru watu au kutelekeza watoto je swala na sadaka za wale waumini anaowaongoza katika swala na ibada haziwi...
Ukisoma story ya ENKI na ENLIL unaweza kupata picha ya ninacho kisema hapa. Huenda hii Ikawa ndio sababu halisi kwanini shetani alimuhasi Mungu... Shetani hakupendezwa na mpango wa Mungu kumuumba...
Mara nyingi nikipita pita kwenye mitandao ya kijamii ninaona video za huyu Sheikh na ninaziangalia na ninazisikiliza.
Soma Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam Walid Omar Kawambwa atenguliwa kwa...
Baraza la Ulamaa BAKWATA limeazimia kumsimamisha Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam Walid Omar Kawambwa kutokana na mienendeo inayokiuka misingi ya kiungozi ya Kibaraza
Uamuzi wa Baraza hilo...
Utetezi kwamba amevutia watu wengi hasa vijana kushiriki katika dini kikamilifu hauna mashiko.
Utetezi pia kwamba kila mtu ana madhambi kwa hiyo asihukumiwe sio sawa, kama kuna ushahidi alitishia...
Mpo poa wadau? Hebu tusome hiki kisa nawapa hapa.
Mnamo Septemba 1988, Julie Ward, raia mwanamke wa Uingereza mwenye umri wa miaka 28, ambaye alikuwa mpiga picha wa wanyamapori na msaidizi wa...
https://youtu.be/SkLvVyZveTI?si=bz4jU76WkZBGn5If
Bado ni kiwingu kwa Tanzania juu yakutopigwa redioni na kwenye TV za Tanzania Ngoma za CIVILIAN-COIN bila sababu yoyote ile. Tangu aachie Ngoma ya...
User interface si rafiki, errors kibao wakati wakutuma taarifa na hazieleweki, ukienda kuangalia manual huzikuti hizo errors, ama ukifungua manual unakutana na kitu ambacho ni tofauti kabisa...
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Mhe. Paul Makonda, ameipongeza Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili - MOI kwa kuanzisha kambi maalum ya...
Mmekuwa mkitutaarifu kutoa taarifa kwenu kila tunapopokea message za utapeli kupitia namba yenu 15040.
Nimekuwa nikiwatumia namba hizo za utapeli nami kuweka kumbukumbu.
Tarehe 11 Apr 2025...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.