Mimi siyo Muislamu lakini ninadhani Sheikh Walid hakutendewa Haki

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
15,743
Reaction score
39,791
Mara nyingi nikipita pita kwenye mitandao ya kijamii ninaona video za huyu Sheikh na ninaziangalia na ninazisikiliza.

Soma Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam Walid Omar Kawambwa atenguliwa kwa kukiuka 'misingi' ya Uongozi

Huyu Sheikh ana kitu, utosi wake umejaa maarifa ya dini yake na sehemu kubwa anaongea mambo mtambuka yenye kujenga ubinadamu mzuri na kuwaunganisha watu na Mungu wao.

Sina elimu sana na dini ya KiIslamu, lakini kufanya maamuzi ya kumtoa mtu wa imani kama huyo kwasababu ya video ya mwanamke ambaye madai yake hajathibitishwa ni kutomtendea haki Sheikh Walid.

Ushauri wangu ni kwamba, wale wenye mapenzi mema na Sheikh wao, waweke mkeka, jamii yote, wakristu, wahindu na wapagani watamchangia.

Mpaka sasa huyo Sheikh na Sheikh Ponda ndiyo masheikh wa taifa.
 
Viongozi wa dini wanapaswa kuwa above doubts. Yule dada aliongea vitu ambavyo vinashawishi na huenda BAKWATA walijiridhisha zaidi.
Pia, hujabainisha sababu za huyo shehe kuhangiwa fedha.
 
Hakika lazima tuhuma zithibitike kwanza, kuna DNA na je alikuwa na ndoa ama la
 
Mara nyingi nikipita pita kwenye mitandao ya kijamii ninaona video za huyu Sheikh na ninaziangalia na ninazisikiliza.

Huyu Sheikh ana kitu, utosi wake umejaa maarifa ya dini yake na sehemu kubwa anaongea mambo mtambuka yenye kujenga ubinadamu mzuri na kuwaunganisha watu na Mungu wao.

Sina elimu sana na dini ya KiIslamu, lakini kufanya maamuzi ya kumtoa mtu wa imani kama huyo kwasababu ya video ya mwanamke ambaye madai yake hajathibitishwa ni kutomtendea haki Sheikh Walid.

Ushauri wangu ni kwamba, wale wenye mapenzi mema na Sheikh wao, waweke mkeka, jamii yote, wakristu, wahindu na wapagani watamchangia.

Mpaka sasa huyo Sheikh na Sheikh Ponda ndiyo masheikh wa taifa.
Hii inaitwa, attach the messenger, discredit him/her in front of the community,
Muaibishe mbele ya umma, ili watu badala ya kufatilia maoni aliyoystoa kuhusu utawala wa samuya, watu watu watatolewa kwenye reli waanze kufatilia Mambo binafsi!
Kumbuka video chafu ya gwajima , ilitoka baada ya, kumkosoa samia!
 
Unaiunganisha na mambo ya kisiasa?
 
Usilete siasa kwenye dini , ile ni taasis kuna kanuni za uongozi , BAKWATA ndiyo walimchagua na wao wamemtema , shekhe Walid ni above 60 sio usipende siasa katika mambo haya. Kuna tuhuma zaidi , ambazo kama kiongozi wa kiroho hazifai kabisa, inachufua .

BAKWATA hawana ugomvi naye , wamemfichia aibu kwa sababu ishu yake inakuwa kwa kasi kutokana na nyadhifa yake , kaangalie yule mtangulizi wake alikuwa na ishu gani ?..Na usichokijua , BAKWATA haipotezi viongozi , yule bado yuko kwenye system yao .​
 
Nadhani kuna madhehebu wanawaruhusu kumwingilia mke wako kwa namna unavyoona inafaa, watatujuza wanazuoni wa dini yake
Hamna kitu kama hicho , nakushauri hayo mambo achana nayo , kwa sababu Qur an hakuna ayah zinapingana , moja wakataze liwat na nyingine wakubali ...Hizo ni styl sio kubadilisha maana ya tendeo​
 
Usilete siasa kwenye dini , ile ni taasis kuna kanuni za uongozi , BAKWATA ndiyo walimchagua na wao wamemtema , shekhe Walid ni above 60 sio usipende siasa katika mambo haya. Kuna tuhuma zaidi , ambazo kama kiongozi wa kiroho hazifai kabisa, inachufua .

BAKWATA hawana ugomvi naye , wamemfichia aibu kwa sababu ishu yake inakuwa kwa kasi kutokana na nyadhifa yake , kaangalie yule mtangulizi wake alikuwa na ishu gani ?..Na usichokijua , BAKWATA haipotezi viongozi , yule bado yuko kwenye system yao .​
Sikatai kuwepo kwa mifumo imara ya kiuongozi, pengine ni timing ya kumuondoa ndiyo inayoleta maswali yote haya
 
Waliomchagua ni wakina nan ? Acheni porojo za siasa , mtu ana kashfa na ilishafika kwa BAKWATA kabla ya kuja online . Unamjua mtangulizi wake aliondolewa kisa nini ? N ahuyo mtangulizi wake mpaka kesho yupo BAKWATA ...Usingemjua Shekh Walid kama sio BAKWATA ..Huku hakuna siasa ,utapotea bure .
 
Weka facts acha kulia lia, Sheikh kaondolewa baada ya yule pisi kutoa shutuma, huo ndiyo ukweli ambao uko sasa na uko wazi
 
Mara nyingi nikipita pita kwenye mitandao ya kijamii ninaona video za huyu Sheikh na ninaziangalia na ninazisikiliza.

Soma Sheikh wa Mkoa wa Dar es salaam Walid Omar Kawambwa atenguliwa kwa kukiuka 'misingi' ya Uongozi

Huyu Sheikh ana kitu, utosi wake umejaa maarifa ya dini yake na sehemu kubwa anaongea mambo mtambuka yenye kujenga ubinadamu mzuri na kuwaunganisha watu na Mungu wao.

Sina elimu sana na dini ya KiIslamu, lakini kufanya maamuzi ya kumtoa mtu wa imani kama huyo kwasababu ya video ya mwanamke ambaye madai yake hajathibitishwa ni kutomtendea haki Sheikh Walid.

Ushauri wangu ni kwamba, wale wenye mapenzi mema na Sheikh wao, waweke mkeka, jamii yote, wakristu, wahindu na wapagani watamchangia.

Mpaka sasa huyo Sheikh na Sheikh Ponda ndiyo masheikh wa taifa.
Sheikh Mzinzi. Anafanya matusi hovyo mitaani bila ya kuvaa kubazi la kuzuia vibendi
 
Weka facts acha kulia lia, Sheikh kaondolewa baada ya yule pisi kutoa shutuma, huo ndiyo ukweli ambao uko sasa na uko wazi
Mfano ukiilizwa wwe inakuhusu nn? utajibu vip ...Mambo mengine kaa kimya , hayakuhusu sio siasa hii .
 
Back
Top Bottom