Kero ya nzi wanaotokana na dampo lililopo Pugu.
Wahusika wa dampo hawamwagi dawa hivyo kusabababisha nzi eneo la Pugu Kinyamwezi.
Watu wapo hatarini kupata magonjwa.
Sisi vijana huru wa Tanzania, kupitia Jukwaa la Uzalendo na Mabadiliko, tunatoa msimamo wetu wa dhati kufuatia matukio ya vurugu yaliyojitokeza tarehe 29, 30 na 31 Oktoba 2025. Matukio hayo...
Kwanza mtambue kuuangusha mbuyu ambao umekaa miaka zaidi ya 20+ katika chama siyo mchezo lazima atafanya Kila jambo kuhakikisha mambo hayaendi chamani tena kwa msaada wa hata dola
Kwa sasa kuna...
Siku ya leo,jumatano nilikuwa na mawasiliano na moja ya jamaa yangu kuhusu jinsi gani atanitumia fedha ambayo nilikuwa namdai,wakati tunaongea na kumaliza maongezi baada ya kuambizana niwekee...
Pichani ni mradi wa Kawe 711 unaoendelea kujengwa
Vanessa Stafford alipoona taarifa kuhusu miradi mipya ya nyumba inayoendelea Tanzania hakuzungumzia ukubwa wa majengo wala usanifu wake. Badala...
Habari wana JF.
Katika jamii nyingi za Afrika, ni jambo la kawaida kabisa kusikia mzazi akimwambia mtoto wake:
"Usicheze na yule mtoto."
"Huyo atakufundisha tabia mbaya."
"Usiende kwao."
Lengo...
Katika kusoma tumejifunza kua mashoga hufa haraka au life span ndogo sana kulingana na tabia zao ambazo huwaletea magonjwa, msongo wa mawazo, ajali na majanga.
Cha kushangaza nimemuona shoga leo...
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeendelea kutoa huduma za kibingwa na kibobezi kupitia madaktari wake bingwa na bobezi wa mifupa, ubongo, mgongo na mishipa ya fahamu katika...
Singo Maza anabembeleza na anakupa penzi kwa unyeyekevu na unasikia utamu.
Hivi vibinti vya Jen Z ambavyo havijaaa vina kiburi sana.
Vinakisirani kwenye mapenzi, havichelewi kununa mda wowote na...
Wito umetolewa kwa Serikali kuongeza juhudi katika kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi ambazo zinaendelea kuathiri maisha ya wananchi, uzalishaji wa chakula, afya, mazingira na uchumi...
UTI (Urinary Tract Infection) ni maambukizi ya njia ya mkojo, yanayoweza kuathiri kibofu cha mkojo, mirija ya mkojo (urethra), au figo.
Chanzo: Mara nyingi husababishwa na bakteria, hasa...
Katika asubuhi angavu ya siku ya Jumamosi huko Kombeni, nje kidogo ya Zanzibar mjini, mlinzi wa usalama mwenye umri wa miaka 71 Amin Maulid Juma alitoka kwenye kliniki ya Sinai Polyclinic akiwa na...
1. Kacheza mechi 16 ligi ya betway.akiwa mchezaji wa Stellenbosch ya afrika kusini, ni mzaliwa wa ubelgiji.ana miaka 23 tu.
2. kaanza kikosi cha kwanza mechi 14.
3.kacheza dakika 1230...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.