Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Katibu mkuu wa kanisa Anglikana Tanzania George Otieno amemtangaza mch Ezron Yuba kuwa askofu mteule wa Dayosisi Teule ya Kahama. Mchungaji Yuba ametangazwa baada ya uchaguzi uliofanyika Julai...
0 Reactions
0 Replies
149 Views
  • Redirect
Hii habari nimeiona mwananchi chap wakafuta
0 Reactions
– Replies
– Views
Wakazi wa Mtaa wa Magaka, Kata ya Kahama – Ilemela, wanaomba mamlaka husika kuangalia upya ukubwa wa mtaa huo kutokana na changamoto zinazotokana na eneo kuwa kubwa huku likiongozwa na Mwenyekiti...
0 Reactions
0 Replies
96 Views
Kuna mada hapa niliweka kuhusu kama mbinu anazopewa CCM na serikali zinatoka uganda. Sasa uganda nao kauli zao wanatafuta njia za kuongea nao ili yaishe.
1 Reactions
0 Replies
49 Views
Motel Agip iliyopo Posta jijini Dar es Salaam ilifungwa rasmi tarehe 18 Desemba 1998 kutokana na mgogoro mkubwa wa kimkataba wa upangaji na ukodishaji kati ya uongozi wa hoteli hiyo na mmiliki wa...
5 Reactions
23 Replies
531 Views
Anonymous
Miundombinu ya Kituo cha Segerea ni mibaya, kwa ufupi imeharibika, hii si mara ya kwanza Wadau tunawasilisha kero hiyo hapa JF lakini nadhani watakuwa wanachukulia poa na kuona wao haiwahusu kwa...
0 Reactions
3 Replies
191 Views
Kwa muda mrefu, hoja ya maridhiano imeendelea kujitokeza katika mijadala ya kisiasa nchini. Ni ajenda ambayo imehubiriwa kwa nyakati tofauti na wadau mbalimbali wanaoamini kuwa, katika maeneo...
2 Reactions
6 Replies
122 Views
Chooni ndio eneo pekee akili inakuwa active sana. Usichulie poa idea unayoipata ukiwa toilet ifanyie kazi na effect yake utaiona.
1 Reactions
9 Replies
201 Views
Nakumbuka nilikariri hadi matarehe ya vita zao lakini hadi sasa najuta nilipoteza sana muda. Muda huo heri ningejifunzaga hata kupalilia matuta ya kunipa chakula Muda huo heri ningejifunzaga hata...
9 Reactions
26 Replies
295 Views
Aloo kuna mitingo mingi yenye kuleta stimu lakini sigara haina faida yeyote, hupati stimu yeyeto zaidi ya kuujaza moshi kwenye mapafu tu. Alafu ilivyo na uraibu mbaya yani ukiamka asubuhi tu...
5 Reactions
14 Replies
660 Views
  • Redirect
0 Reactions
– Replies
– Views
Tanzania tunatakiwa kuwa kama. South Africa. Kuwe na majiji mengi yenye influence mfano Johannesburg, Durban, Cape Town etc. Sio hapa kwetu " Jiji" ni moja tu Dar. Kila mtu anataka kuja Dar. Media...
9 Reactions
19 Replies
318 Views
Yn 5:14 SUV [14] Baada ya hayo Yesu akamkuta ndani ya hekalu, akamwambia, Angalia, umekuwa mzima; usitende dhambi tena, lisije likakupata jambo lililo baya zaidi. Matatizo mengine tunayafungulia...
9 Reactions
54 Replies
533 Views
Anonymous (f5e3)
Kero ya nzi wanaotokana na dampo lililopo Pugu. Wahusika wa dampo hawamwagi dawa hivyo kusabababisha nzi eneo la Pugu Kinyamwezi. Watu wapo hatarini kupata magonjwa.
2 Reactions
2 Replies
144 Views
Sisi vijana huru wa Tanzania, kupitia Jukwaa la Uzalendo na Mabadiliko, tunatoa msimamo wetu wa dhati kufuatia matukio ya vurugu yaliyojitokeza tarehe 29, 30 na 31 Oktoba 2025. Matukio hayo...
3 Reactions
5 Replies
189 Views
Kwanza mtambue kuuangusha mbuyu ambao umekaa miaka zaidi ya 20+ katika chama siyo mchezo lazima atafanya Kila jambo kuhakikisha mambo hayaendi chamani tena kwa msaada wa hata dola Kwa sasa kuna...
5 Reactions
3 Replies
84 Views
Kama ni kuteka mumeweza kukamata vyombo vya habari na mnazidi kuvimaliza. Sasa nini hapa
1 Reactions
2 Replies
140 Views
Back
Top Bottom