Shida siyo kudaiwa tu, shida ni unadaiwa na nani?
Mimi roho yangu ni ndogo sana Hata nikidaiwa 50,000 tu siwezi kulala usingizi mpaka nilipe
Nakosa amani kabisa
Twende kwenye mada
Madeni...
Ebu acheni
Una enjoy luxury ya kucheka na moyo umetulia.
Kupost JF kwa mbwembwe maana moyo wako sio mzito
Kuna mtu anaamka anapokelewa na machungu, hajanywa chai simu tatu za kukumbushia...
LEO KWA KIPEKEE NIWASHUKURU NYOTE MNAONISAPOTI. KUMTUMIA PESA MTU AMBAYE HUJAKUTANA NAYE NAYO NI KIPAJI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nitakuwa sijafanya jambo sahihi. Tangu nimeanza...
Wakati sisi Afrika tunaendelea kuwa na maraisi wanazeeka wakiwa madarakani ila wenzetu wanavitu ambavyo mpaka sasa sijui wanaficha nini.
Graphics card kwa utambuzi rahisi unaweza kusema ni kwa...
Hello JF..
Mimi naamini Chadema ina struggle financially, hata kama hatutaki kudiscuss hili,bado haiondoi ukweli kuwa kuna tatizo mahali...
Ku fight na ma giants kama CCM ambako matajiri...
Waliwabaka kila mara, kuwauza mabinti zao kama watumwa wa kingono kwenye iliokuwa chini yao.
Ila kuna watu wa JF watakuja kuwakingia kifua sababu tu wana share nao itikadi moja.
UTU na UBINADAMU...
Mwaka 1992 nikiwa nasoma mafundisho ya kipaimara, siku moja tulikuwa darasani Sister anafundisha. Katika kuzunguka darasani akamkuta mwanafunzi mmoja ana hirizi yake shingoni, sister akalipuka kwa...
8/8/2026 utafanyika uzinduzi mkubwa sana wa kampeni ya OPOWAZ hii ni kampeni rasmi ya kuwaondoa wazanzibari Tanganyika na watanganyika warudi nyumbani kila mmoja akae kwake ajenge nchi yake hivyo...
God forbid.
Imagine mtu kafanya kazi miaka kibao kwa jasho na damu na kuwa na malengo kadha wa kadha ya kuboresha maisha yake zaidi mara baada ya kustaafu.
Kwa kujenga nyumba ya ndoto yake au...
Wanafunzi wa shule ya sheria kwa vitendo kwa Cohort ya 40 &42 wamejikuta katika TAHARUK mara baada ya kukutana na Taarifa katika akaunti zao za chuoni hapo (Lawsaris) ambazo zinatumika pia kupata...
Za jioni wadau...
Nimekuwa ni kipractice meditation for a while now.
Imenisaidia pakubwa ila kuna Sehem nataka kufikia spiritually ila nakosa focus and concentration nikifanya peke yangu...
TAARIFA YA KURUDIWA KWA WRITTEN PRACTICAL ASSESSMENT (WPA)
ILIYOFANYWA NA KUNDI LA 42 NA KUNDI LA 40 WALIOFANYA MARUDIO
(SUPPLIMENTARY) TAREHE 18-26 JUNI, 2026
Taarifa inatolewa kwa wanafunzi wa...
Wana Jf mimi ni mmoja wa wazazi wa watoto ktk shule ya mchepuo wa kiingereza ya serikali iliyopo Upanga Mashariki Diamond Primary School,shule hii ada tunalipa shs 400,000/= kwa mwaka na ni...
Inatia uchungu sana mwaka jana nilinunua kiwanja ekari tatu maeneo ya kibaha na mwaka huu mwezi wa tano nimeanza kujenga kanisa langu na nina amini nitapata wafuasi wengi kama akina kuhani mkuu...
Wananchi tunahoji kwanini namba za NIDA hazijatoka zaidi ya miezi miwili toka zoezi la usajili wa namba za NIDA kufanyika katika kata za jiji la Arusha.
Wengi wao wenye uhitaji wa namba za nida...
Hivyo ni vyoo vya Stendi hapa Ifakara na wananchi wanalipia na receipt juu lakini unaingia ndani unakuta hali kama hiyo hata usafi wa kumwaga maji ya sabuni hakuna.
Pia kama una hela kuazia jero...
Mfamasia wa SONGWE DC, anahusishwa na kupokea rushwa za wamiliki wa maduka ya dawa, anatoa vibali kiholela kiasi kwamba population ndogo unakuta maduka zaidi ya manne na mengine hayana usajili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.