YAH: MALALAMIKO KUHUSU CHANGAMOTO ZA HUDUMA ZA TRENI ZA DAR ES SALAAM – KIGOMA (ORDINARY NA DELUXE)
Napenda kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu changamoto zinazoendelea kujitokeza katika huduma...
Wananchi wa Kijiji cha Businde, Wilaya ya Kyerwa, wanaomba ufafanuzi kuhusu hatua zilizochukuliwa dhidi ya viongozi na watu waliotajwa kuhusika na ukataji miti na uchomaji mkaa kinyume cha sheria...
Wananchi wanaotegemea magari ya Intel yanayopita Morombo wanakumbana na changamoto kubwa nyakati za jioni kuanzia saa 12. Magari mengi hukataa kuendelea na safari hadi Intel na huishia kupakia...
Askari wa Jeshi la Polisi nchini, wameuzingira Msikiti wa Kichangani uliopo Magomeni, ambao awali ilidaiwa aliyekuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Walid Omari Kawambwa, angekwenda kuswali Swala...
Baada ya kutumia bangi kwa kipindi cha miaka 29, mwanaume mmoja ametoa ushuhuda mbele ya Mtume Boniface Mwamposa katika Mkutano wake mkoani Morogoro akieleza jinsi alivyokuwa ametumbukia kwenye...
Habari za jion wakuu
Kwanza kabisa Mimi ni mkazi wa mafinga ila kwa sasa Niko kwenye gar naelekea dar ila sjawai fika kabla i
Hii ndo mara yangu ya kwanza kuenda Dar kwa hiyo naombeni mwongozo
Katika dunia ya leo, Ushirikiano kati ya sekta ya umma na binafsi (PPP) umejidhihirisha kuwa nguzo muhimu katika kuleta mageuzi ya kiuchumi, hasa kwenye sekta ya kilimo. Nchi kama Kenya kupitia...
Tanzania ni nchi kubwa , na yenye Jamii nyingi za asili mbalimbali, Lakini kiuhalisia kutokana na mambo ya historia na maeneo zilizopo jamii hizo imesababisha baadhi ya jamii kuwa na uwezo mkubwa...
JF ni uwanja wa vita
Unaweza ukaandikia wapi habari ndugu zangu
Majibu utakayokutana nayo unaweza kusema JF imeruhusiwa pale milembe hosp.
Anyway maisha yaendelee😁
Maana ya Neno Uzinifu
Mtu ambaye hana ndoa lakini anafanya tendo la ndoa huyo anaitwa mzinifu.
Maana ya Pili
Mtu ambaye ameoa au kuolewa anapofanya uzinifu anaitwa mwasherati
Inawezekana watu...
Kuna watu wanahisi jf haiko addictive.
Lahaula, hata hii ni social media platform kwa kivuli cha forum
Nahisi sasa ni muda wangu kutoka, for some time... I need to recharge.
My team si out🇵🇹, I...
Awali ilisemekana sheikh WALIDI, huenda angeswalia MSIKITI WA KICHANGANI nakutoa mawili matatu, Kwa waumini, lakini hakutokea MSIKITINI.
POLISI walionekana kitanda maeneo hayo ambapo inasemekana...
Napendekeza apewe cheo Cha juu zaidi (Nakinzana na nyote mnaong'ang'ania arudishwe kwenye cheo chake)
Kwa nini ?
Utendaji wake kiufanisi utashuka kiwango chini ya wastani (35%) kutokana na...
Kutoka kwa dada Mariam Mbano
______
Kumekuwepo na wimbi kubwa la watu ambao wanatumia matatizo ya wengine kuwadhalilisha, kuwatapeli ama kuwafanyia unyanyasaji. Huyu binti anaitwa Josephine David...
Kuna tabia ambayo imeanza kuota mizizi kwa baadhi ya mawakala wa usajili wa line za simu nchini, na ni wakati sasa wa kuikemea kwa nguvu zote.
Kinachofanywa na baadhi yao sio huduma kwa mteja...
Shangwe na makofi vilitawala ukumbi wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC), Dar es Salaam, pale jina la Balozi Liberata Mulamula lilipotajwa kupokea Tuzo ya Uongozi Bora wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.