Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Kuna tetesi kuwa idadi ya wawekezaji wapya kupitia kituo cha Uwekezaji, TIC imepungua sana ndani ya miaka miwili iliyopita. Waekezaji wengi, inaelezwa, wanachungulia hali na kuahidi kurudi...
6 Reactions
62 Replies
6K Views
4 secrets to raising wealthy kids, according to the billionaire Rockefeller family Robert Frank | @robtfrank 10:32 AM ET Mon, 26 March 2018 David Rockefeller Jr.'s secret to raising unspoiled...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Wakuu kwema? Leo nilikua nimetoka Muhimbili Hospital kumuona Mgonjwa nikaona nipitie Morogoro Road badala ya Ally Hassan Mwinyi niliyoizoea. Sababu ya kupta hii njia ni kua kuna mtu nilikua...
9 Reactions
160 Replies
15K Views
Bwana Yesu asifiwe /Asalaam aleykum ndugu zangu Watanzania na wasio Watanzania, napenda kuwa julisha kuwa, kwa uweza wa Mungu Mkuu aliyeziumba Mbingu na Nchi nimeanza Huduma ya maombi na ushauri...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Nmesoma thread ya mtu mmoja na mwingine pia alishawah zungumzia habari ya miti maarufu kama mishokshok. Hapo ndipo unapochoka na imani za waafrika zilizojaa ushirikina uliovuka mipaka.hii miti...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
1. Atatoka na wimbo mzuri kimashairi, melody na ujumbe. 2. Atapiga shoo nzuri mwanzoni ila badae ataharibu. 3. Atatengeneza au kuangukia kwene skendo hasa ngono na ulevi wa pombe na kiburi...
1 Reactions
4 Replies
791 Views
Na John Walter-Babati Katika jitihada za serikali kuendelea kumaliza wimbi la vijana wenye ukosefu wa ajira,Mkuu wa wilaya ya Babati Elizabeth Kitundu amekabidhi piki piki 11 kwa vijana 11 ikiwa...
1 Reactions
2 Replies
769 Views
Binadamu haturidhiki na kitu kimoja. Na tunapenda sana kubadili badili aina kadhaa… wakati mwingine utokako ni kuzuri kabisa kuliko huko uendako. Cha ajabu unafanya kule , unafanya huku. Na...
2 Reactions
53 Replies
4K Views
Leo nimeshuhudia mwanaume anafua hatari sana....nyumba za kupanga zina mambo kweli...tembea uone mambo...
1 Reactions
63 Replies
9K Views
Saa chache tu zilizopita imetangazwa kwamba Marekani sasa ndiyo nchi inayozalisha kwa uwingi Mafuta duniani kuliko zile nchi za ' Kiarabu ' ambazo zilizoeleka na zikawa zinatunyanyasa kwa...
8 Reactions
75 Replies
8K Views
Wanabodi , leo ni siku ya kimataifa ya Yoga , Meditation au Tahajudi. Siku hii imeadhimishwa kwa mazoezi ya Yoga kwenye fukwe za bahari ya Hindi eneo la Coco Beach ambapo mgeni rasmi ni Waziri wa...
4 Reactions
2 Replies
4K Views
Hii naanzia hapa Tz marais na viongozi wakuu wa nchi wastaafu na wake zao wote wapo hai...hata mzee wetu nyerere mke wako yuko hai... Nchi km marekani baba yake bush yuko hai hadi Leo...nenda...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Wadau nimeifuatilia Bendera ya Rais wa Tanzania na kubaini kuwa Bendera hiyo ni toka Rais wa Awamu ya kwanza.Naomba kujua je Rais aliopo madarakani anaweza kuamua Bendera ya Rais atakayo itumia...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Habari za wikiendi. Tushare changamoto tunazokutana nazo sisi wasafiri wa dala dala za hapa mjini Dar es salaam.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jana nimeona video clip ya Mwanajeshi (afisa Takukuru?????) akimtafuta Hans Pope na Lawuo.... kwa tuhuma za rushwa huko Simba S.C na TRA in connection with kukwepa kodi! Najiuliza Makonda na...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Jamani habari zenu, mwaka ana nilibahatika kupata milion 9, nikaangalia cha kufanya nikashindwa, maana ukiingia kichwa kichwa kwa hali ilivyotanzania ,hapana, Nikanunua ardhi ekari 5 kwa milion...
2 Reactions
125 Replies
18K Views
Hawa Jamaa Sasa uvumilivu umewashinda. Katika Toleo lao la IPHONE XS ambayo inatarajiwa kutoka mwishoni mwa mwezi wa Tisa au mwezi wa kumi mwanzoni itakuwa na line mbili yaani DUAL SIM Kama...
12 Reactions
107 Replies
12K Views
Mambo ya kutoa rock
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habarini wakuu, Bank vs (TigoPesa, M-pesa) ni sehemu ipi nzuri kuhifadhi pesa ukizingatia faida na hasara ya kila upande.
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Nawaambieni lipo tatizo, tena linafukuta sana, vyanzo vya mauaji ya Mme na mke vitaendelea, Wanaume Wanamaudhi lakini pia wanawake WANAKERA, Hakuna mwanamme anaeoa ili aje auwe hayupo, lakini...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Back
Top Bottom